Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Una uhakika kaaçhwa?Nimeshangaa kuachwa Adi yussuph
Huyu tuliye nae si kocha
Bora hiyo nafasi yake angewekwa Boxer regardless na position zao.Nimeshangaa kuwepo kwake kwenye kikosi cha wachezaji 23
Unajua nini wewe zaidi ya kuropoka!!?TU hajui mpira na hatakuja kuujua mpira. Mpira wa nguvu bila kutumia akili ni sawa na mchezo wa kuvuta kamba.
Hajui. Umeridhika?Lukaku kacheza Chelsea, Man Utd je anajua mpira?
Tatizo lenu mnakurupukia mambo msiyoyajua, Adi Yussuph umemuacha wewe!!??Nimeshangaa kuachwa Adi yussuph
Huyu tuliye nae si kocha
Hahahaha Eti Samatta anasubiri kwa Tom kaka kila mtu ana macho anaona uwezo wa TOM ulivyo huwezi kulinganisha mchezaji ambaye ana mafanikio makubwa Ulaya dhidi ya huyo ambaye bado hata hana uhakika wa namba pale JS Saoura.Unajua nini wewe zaidi ya kuropoka!!?
Kwa taarifa yako hata huyo Samatta anasubiri kwa Thomas.
Wasifu wake tu na team alizopitia unakupa kila sababu ya kutambua ubora wake na kumuheshimu.
Kama hutaki mfate Misri umrudishe.
Kweli mkuu, wanasema eti uzoefu wa kimataifa awajui bongo vipaji Vingi ila Connection tu za kwenda Ulaya ndo tatizo ....! Kilichomfanya akarud Africa nini? Mbona Mwenzie anachanja mbuga?Bora hiyo nafasi yake angewekwa Boxer regardless na position zao.
Uko sahihi kabisaBora hiyo nafasi yake angewekwa Boxer regardless na position zao.
Mfungaji Bora wa timu ya taifa ya Belgium ni Nani?Lukaku kacheza Chelsea, Man Utd je anajua mpira?
Ni ndugu wa DuniaMimi hata simfahamu Huyo ulimwengu sijui
Nafikiri anabebwa na CV yake, kule kuchezea tp mazembe kunambeba hadi leo, anasafiria nyota ya katumbiHuyu jamaa ni overrated. Binafsi sijawahi kumuelewa Thomas Ulimwengu na aina yake ya uchezaji. Miaka nenda rudi, Ulimwengu ana uhakika wa kuitwa na kucheza timu ya Taifa ya Tanzania.
Je ni kipi haswa kinambeba Ulimwengu timu ya Taifa? Je urafiki wake wa karibu na Nahodha Mbwana Samatta ndio kinachombeba kuendelea kuwepo Taifa Stars?
Hapo kumzidi Samatta umebolonga mkuu... labda kama hujui Mbwana ana tuzo ya mchezaji bora afrika player wa ndani akiwa Mazembe.Unajua nini wewe zaidi ya kuropoka!!?
Kwa taarifa yako hata huyo Samatta anasubiri kwa Thomas.
Wasifu wake tu na team alizopitia unakupa kila sababu ya kutambua ubora wake na kumuheshimu.
Kama hutaki mfate Misri umrudishe.