Je, Urafiki wake na Samatta ndio unambeba Thomas Ulimwengu?

Je, Urafiki wake na Samatta ndio unambeba Thomas Ulimwengu?

Mtu kacheza Mazembe kachukua CAF halafu unasema hajui mpira?
kumbukeni Thom anacheza JS soura ,unadhani kule Samatta naye anampigia chapuo?
Tanzania hii wachezaji waliochukua Champions League ni wawili tu na Thom yupo
 
Madhara ya kutowekeza kwene mpira hahahaha !! Tunakula tulichopanda kwa ushabiki maandazi, kosa sio la kocha na mimi nampa hongera kocha labda siku moja tutajifunza
 
TU hajui mpira na hatakuja kuujua mpira. Mpira wa nguvu bila kutumia akili ni sawa na mchezo wa kuvuta kamba.
Unajua nini wewe zaidi ya kuropoka!!?
Kwa taarifa yako hata huyo Samatta anasubiri kwa Thomas.
Wasifu wake tu na team alizopitia unakupa kila sababu ya kutambua ubora wake na kumuheshimu.
Kama hutaki mfate Misri umrudishe.
 
Unajua nini wewe zaidi ya kuropoka!!?
Kwa taarifa yako hata huyo Samatta anasubiri kwa Thomas.
Wasifu wake tu na team alizopitia unakupa kila sababu ya kutambua ubora wake na kumuheshimu.
Kama hutaki mfate Misri umrudishe.
Hahahaha Eti Samatta anasubiri kwa Tom kaka kila mtu ana macho anaona uwezo wa TOM ulivyo huwezi kulinganisha mchezaji ambaye ana mafanikio makubwa Ulaya dhidi ya huyo ambaye bado hata hana uhakika wa namba pale JS Saoura.
 
Bora hiyo nafasi yake angewekwa Boxer regardless na position zao.
Kweli mkuu, wanasema eti uzoefu wa kimataifa awajui bongo vipaji Vingi ila Connection tu za kwenda Ulaya ndo tatizo ....! Kilichomfanya akarud Africa nini? Mbona Mwenzie anachanja mbuga?

Apo Taifa stars licha ya kubebwa bebwa hana ata records nusu za Mrisho ngasa kwa Magoli na assist na wanacheza namba moja(Wings)......!
 
Ulimwengu anajua mpira! Akitoka Samatta hapo stars lazima umtaje yeye
 
Huyu jamaa ni overrated. Binafsi sijawahi kumuelewa Thomas Ulimwengu na aina yake ya uchezaji. Miaka nenda rudi, Ulimwengu ana uhakika wa kuitwa na kucheza timu ya Taifa ya Tanzania.

Je ni kipi haswa kinambeba Ulimwengu timu ya Taifa? Je urafiki wake wa karibu na Nahodha Mbwana Samatta ndio kinachombeba kuendelea kuwepo Taifa Stars?
Nafikiri anabebwa na CV yake, kule kuchezea tp mazembe kunambeba hadi leo, anasafiria nyota ya katumbi
 
Unajua nini wewe zaidi ya kuropoka!!?
Kwa taarifa yako hata huyo Samatta anasubiri kwa Thomas.
Wasifu wake tu na team alizopitia unakupa kila sababu ya kutambua ubora wake na kumuheshimu.
Kama hutaki mfate Misri umrudishe.
Hapo kumzidi Samatta umebolonga mkuu... labda kama hujui Mbwana ana tuzo ya mchezaji bora afrika player wa ndani akiwa Mazembe.
Siendelei kutaja cv yake hata wewe unaijua .. Acha husda,
 
Back
Top Bottom