moodykabwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 625
- 602
Kuna tofauti baina ya kitambaa na nguo, viungo na mchuzi.Kwenye Fainali za Kombe la Dunia zilizochezwa Korea ya Kusini na Japan, licha ya kuwa ni Bingwa Watetezi, Ufaransa ilikuwa na mwanasoka bora wa Dunia (Zidane) mfungaji bora wa Ligi ya Uingereza (Henry), Mfungaji bora wa Ligi ya Ufaransa (Djibril Cisse) na mfungaji bora wa Ligi ya Italia (Treziguet). Unakumbuka ilikuwaje? Walitolewa hatua ya awali ya makundi bila ya kuambulia hata goli!Usajili huo ni sawa na moto wa makaratasi...unaowaka fwaaaa kisha unazima baada ya sekunde chache.
Hii ni mara ya tatu nawaambia kuwa maneno matupu hayasaidii, ligi itaanza kesho kutwa...mtanyamaza tu ama mtanyamazishwa na Yanga.
Yanga bila Malinzi ni wepesi kuliko karatasiUsajili huo ni sawa na moto wa makaratasi...unaowaka fwaaaa kisha unazima baada ya sekunde chache.
Hii ni mara ya tatu nawaambia kuwa maneno matupu hayasaidii, ligi itaanza kesho kutwa...mtanyamaza tu ama mtanyamazishwa na Yanga.
Kipa bora msimu uliopita (Aishi Manula) amesajiliwa Simba, Mchezaji bora wa kigeni msimu uliopita (Haruna Niyonzima) amesajiliwa Simba, Mchezaji bora ligi kuu msimu (Mohamed Hussein 'Tshabalala') uliopita yupo Simba.
Je, hii inatosha kuamini kuwa Simba ndio mabingwa msimu ujao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani malinzi ndio anaingia uwanjani kucheza?
Anatoa maelekezo toka juu na kupanga marefa wahaya wenzie ili kuamua matokeo sasa mtajua soka linachezwaje Chura Bakuli FcKwani malinzi ndio anaingia uwanjani kucheza?
Huwa mnaleta Mboyoyo miingi halafu mwisho mnabaki kulia na kutoa lawama hovyo.
Hayo ni maneno ya vijiwe vya simba baada ya kushiba kashata 3 na kahawa.Anatoa maelekezo toka juu na kupanga marefa wahaya wenzie ili kuamua matokeo sasa mtajua soka linachezwaje Chura Bakuli Fc
Sent using Jamii Forums mobile app
Well said. Hivi ni Mashkndano hayo ambayo waliumbuliwa na colony lao la zamani SENEGAL?Kuna tofauti baina ya kitambaa na nguo, viungo na mchuzi.Kwenye Fainali za Kombe la Dunia zilizochezwa Korea ya Kusini na Japan, licha ya kuwa ni Bingwa Watetezi, Ufaransa ilikuwa na mwanasoka bora wa Dunia (Zidane) mfungaji bora wa Ligi ya Uingereza (Henry), Mfungaji bora wa Ligi ya Ufaransa (Djibril Cisse) na mfungaji bora wa Ligi ya Italia (Treziguet). Unakumbuka ilikuwaje? Walitolewa hatua ya awali ya makundi bila ya kuambulia hata goli!
Peleka ngada kuleee kwenye bwawa la jangwaniHayo ni maneno ya vijiwe vya simba baada ya kushiba kashata 3 na kahawa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]