Je Usajili Huu Unampa Simba Ubingwa?

Je Usajili Huu Unampa Simba Ubingwa?

Kelele nyingi ila mwisho wake FIFA. Hivi FIFA fc huko FIFA mlimkuta malinzi? Acheni kulaumu wakati uwanjani zero. Kagera kawapiga mnahangaika kuibia. Sasa huu mwaka kama mwaka uliopita tu. Mmesajili wazee alafu mnapiga kelele. Huyo manula Azam ilikuwa ya ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Waache wajitekenye na kucheka wenyewe
 
OSOKONI Hahaha...punguza jazba mkuu

Kutukana huko kunadhihirisha kuishiwa hoja.

Ni kwanini mnasajili vikongwe?




Wabillah Tawfiq
 
Kama mpira utachezwa uwanjani basi simba bingwa. Ila marefa wakifanya yaleyale ya msimu uliopita basi yanga atapewa ubingwa tena.
 
Kama mpira utachezwa uwanjani basi simba bingwa. Ila marefa wakifanya yaleyale ya msimu uliopita basi yanga atapewa ubingwa tena.
Kama ni hivyo, bac kwa nini Simba wamesajili? Albert Einstein alipata kusema kuwa wazimu ni kurudia jambo hilohilo tena na tena huku ukitegemea matokeo tofauti (insanity is doing the same thing over and over again and expecting diffferent results).
 
Kama mpira utachezwa uwanjani basi simba bingwa. Ila marefa wakifanya yaleyale ya msimu uliopita basi yanga atapewa ubingwa tena.
Msimu uliopita marefa ndio walimuambia mbarak yusuf aachie lile fataki la mwanaukome pale kaitaba hadi mkakimbilia fifa?
 
IMG-20170803-WA0032.jpg

Simba Imara[emoji23][emoji23][emoji23]

May Allah bless Me and You
 
Usajili huo ni sawa na moto wa makaratasi...unaowaka fwaaaa kisha unazima baada ya sekunde chache.

Hii ni mara ya tatu nawaambia kuwa maneno matupu hayasaidii, ligi itaanza kesho kutwa...mtanyamaza tu ama mtanyamazishwa na Yanga.

...Baambie,,,, Baelezee...na usajili wao wa WAHENGA.....😀😀😀😀😀😀😀😀😀😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛
 
Kwani malinzi ndio anaingia uwanjani kucheza?

Huwa mnaleta Mboyoyo miingi halafu mwisho mnabaki kulia na kutoa lawama hovyo.

..Azarel, acha kubishana nao hao. Watu walishaitwa na Mwenyekiti/Raisi wao kuwa ni mambumbumbu. Sasa unategemea nini hapo??????
 
2003 pale Real Madrid kulikuwa na watu wa ukweli kama Figo, De Lima, Cambiasso, Casillas, Salgado, Beckham, Zidane na Roberto Carlos!

Matokeo ya Msimu: La Liga ya 4, Copa De Laroy akapigwa final, UEFA akaishia Quarter Final!

Ndio ujue Mimba sio Mtoto!

Sent using Jamii Forums mobile app

Kula Like mwanangu...
 
Back
Top Bottom