Dr Simba
JF-Expert Member
- Apr 27, 2016
- 997
- 1,242
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waache wajitekenye na kucheka wenyeweKelele nyingi ila mwisho wake FIFA. Hivi FIFA fc huko FIFA mlimkuta malinzi? Acheni kulaumu wakati uwanjani zero. Kagera kawapiga mnahangaika kuibia. Sasa huu mwaka kama mwaka uliopita tu. Mmesajili wazee alafu mnapiga kelele. Huyo manula Azam ilikuwa ya ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba SC ni sawa na Mwanamke aliyekaa vibaya anayejitahidi kufunika mapaja yasionekane ila ma*tako kayaacha nje.
Inshaallah waalayku muswalaaaaaam!Hahaha...punguza jazba mkuu
Kutukana huko kunadhihirisha kuishiwa hoja.
Ni kwanini mnasajili vikongwe?
Wabillah Tawfiq
Ndiyo hiyo, tena ilikuwa mechi ya ufunguzi ambayo Bingwa alipangiwa kilichoonekana ni kibonde makusudi (Pengine) ili aanze na morali wa mabao kibao!Well said. Hivi ni Mashkndano hayo ambayo waliumbuliwa na colony lao la zamani SENEGAL?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni hivyo, bac kwa nini Simba wamesajili? Albert Einstein alipata kusema kuwa wazimu ni kurudia jambo hilohilo tena na tena huku ukitegemea matokeo tofauti (insanity is doing the same thing over and over again and expecting diffferent results).Kama mpira utachezwa uwanjani basi simba bingwa. Ila marefa wakifanya yaleyale ya msimu uliopita basi yanga atapewa ubingwa tena.
Msimu uliopita marefa ndio walimuambia mbarak yusuf aachie lile fataki la mwanaukome pale kaitaba hadi mkakimbilia fifa?Kama mpira utachezwa uwanjani basi simba bingwa. Ila marefa wakifanya yaleyale ya msimu uliopita basi yanga atapewa ubingwa tena.
Usajili huo ni sawa na moto wa makaratasi...unaowaka fwaaaa kisha unazima baada ya sekunde chache.
Hii ni mara ya tatu nawaambia kuwa maneno matupu hayasaidii, ligi itaanza kesho kutwa...mtanyamaza tu ama mtanyamazishwa na Yanga.
Kwani malinzi ndio anaingia uwanjani kucheza?
Huwa mnaleta Mboyoyo miingi halafu mwisho mnabaki kulia na kutoa lawama hovyo.
2003 pale Real Madrid kulikuwa na watu wa ukweli kama Figo, De Lima, Cambiasso, Casillas, Salgado, Beckham, Zidane na Roberto Carlos!
Matokeo ya Msimu: La Liga ya 4, Copa De Laroy akapigwa final, UEFA akaishia Quarter Final!
Ndio ujue Mimba sio Mtoto!
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia huyu.mwaka jana mlibebwa yanga.na mwaka huu simba ndo mabingwa.Labda ubingwa kutoka FIFA kama wa msimu ulioisha.
Angalia huyu.mwaka jana mlibebwa yanga.na mwaka huu simba ndo mabingwa.
Sent using Jamii Forums mobile app