Je Usajili Huu Unampa Simba Ubingwa?

Waache wajitekenye na kucheka wenyewe
 
OSOKONI Hahaha...punguza jazba mkuu

Kutukana huko kunadhihirisha kuishiwa hoja.

Ni kwanini mnasajili vikongwe?




Wabillah Tawfiq
 
Kama mpira utachezwa uwanjani basi simba bingwa. Ila marefa wakifanya yaleyale ya msimu uliopita basi yanga atapewa ubingwa tena.
 
Kama mpira utachezwa uwanjani basi simba bingwa. Ila marefa wakifanya yaleyale ya msimu uliopita basi yanga atapewa ubingwa tena.
Kama ni hivyo, bac kwa nini Simba wamesajili? Albert Einstein alipata kusema kuwa wazimu ni kurudia jambo hilohilo tena na tena huku ukitegemea matokeo tofauti (insanity is doing the same thing over and over again and expecting diffferent results).
 
Kama mpira utachezwa uwanjani basi simba bingwa. Ila marefa wakifanya yaleyale ya msimu uliopita basi yanga atapewa ubingwa tena.
Msimu uliopita marefa ndio walimuambia mbarak yusuf aachie lile fataki la mwanaukome pale kaitaba hadi mkakimbilia fifa?
 
Usajili huo ni sawa na moto wa makaratasi...unaowaka fwaaaa kisha unazima baada ya sekunde chache.

Hii ni mara ya tatu nawaambia kuwa maneno matupu hayasaidii, ligi itaanza kesho kutwa...mtanyamaza tu ama mtanyamazishwa na Yanga.

...Baambie,,,, Baelezee...na usajili wao wa WAHENGA.....πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Kwani malinzi ndio anaingia uwanjani kucheza?

Huwa mnaleta Mboyoyo miingi halafu mwisho mnabaki kulia na kutoa lawama hovyo.

..Azarel, acha kubishana nao hao. Watu walishaitwa na Mwenyekiti/Raisi wao kuwa ni mambumbumbu. Sasa unategemea nini hapo??????
 

Kula Like mwanangu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…