Je ushahidi wa video unakubalika Mahakamani?

Je ushahidi wa video unakubalika Mahakamani?

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,804
Reaction score
12,227
Ieleweke nalaani vikali kitendo cha yule mwalimu kutumia nguvu ya ziada kumwadhibu mwanafunzi.

Ila naomba kujua je kwa sheria za Tanzania, ushahidi wa video unakubalika?!
Niki-refer hukumu ya prof Mahalu, ilibidi mahakama itoe ruhusa maalumu.
 
Haha, msomi kapitie tena ile kesi yetu maarufu ya Le Marsh, admissibility of electronic evidence
 
Back
Top Bottom