KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Ieleweke nalaani vikali kitendo cha yule mwalimu kutumia nguvu ya ziada kumwadhibu mwanafunzi.
Ila naomba kujua je kwa sheria za Tanzania, ushahidi wa video unakubalika?!
Niki-refer hukumu ya prof Mahalu, ilibidi mahakama itoe ruhusa maalumu.