Wanajeshi ni wapole bt ukiingia anga zao ni watu hatari sana,kuna chinga1 wa viatu aliwahi kukatiza eneo la kambi akiwa hajui kama hairuhusiwi, jamaa walimdaka wakampigisha tizi akawa analia ka mtoto, walipomwambia ondoka jamaa aliacha viatu vyote, walipomuambia rudia viatu jamaa wala hakugeuka kwa mateso aloyapata.
Binafsi siku1 nasubiri usafiri kuna gari ilipaki kando yangu, mhusika aliniuliz unaelekea wapi? nikajibu akanambia panda twende, kwa kua nilikua naharaka wala sikusita.
Kumbe jamaa ni mjeda, alikua kashanicheki miguuni nimevaa raba za mabaka kama mavazi yao, dah! nilishtukia anauliza we ni mwanajeshi? nikajibu no, akasem mbona unavaa mavaz yetu, hujui kama nikosa? nikajbu sikujua kama ni kosa, jamaa akasem nakupelek kambini tukakufunze adabu.
Nikajitetea huku nikiomba sana mungu, nilipofika naposhukia sikuamini jamaa alinishusha, akasem usirudie kuvaa kitu cha kufanana na mavaz yetu, nilimshukuru sana mungu kuniepusha na msala ule na niliporud nilivitupa viatu vile.
Share nawe kisa chako.