Je, ushawahi ingia kwenye anga za Wajeda (Wanajeshi)? Karibu hapa utupe kisa chako

yuzazifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
5,108
Reaction score
9,436
Wanajeshi ni wapole bt ukiingia anga zao ni watu hatari sana,kuna chinga1 wa viatu aliwahi kukatiza eneo la kambi akiwa hajui kama hairuhusiwi, jamaa walimdaka wakampigisha tizi akawa analia ka mtoto, walipomwambia ondoka jamaa aliacha viatu vyote, walipomuambia rudia viatu jamaa wala hakugeuka kwa mateso aloyapata.

Binafsi siku1 nasubiri usafiri kuna gari ilipaki kando yangu, mhusika aliniuliz unaelekea wapi? nikajibu akanambia panda twende, kwa kua nilikua naharaka wala sikusita.

Kumbe jamaa ni mjeda, alikua kashanicheki miguuni nimevaa raba za mabaka kama mavazi yao, dah! nilishtukia anauliza we ni mwanajeshi? nikajibu no, akasem mbona unavaa mavaz yetu, hujui kama nikosa? nikajbu sikujua kama ni kosa, jamaa akasem nakupelek kambini tukakufunze adabu.

Nikajitetea huku nikiomba sana mungu, nilipofika naposhukia sikuamini jamaa alinishusha, akasem usirudie kuvaa kitu cha kufanana na mavaz yetu, nilimshukuru sana mungu kuniepusha na msala ule na niliporud nilivitupa viatu vile.

Share nawe kisa chako.
 
Nakumbuka miaka mingi iliyopita mitaa yetu kuna pundamilia wa jeshi alipewa sumu na wanazengo .......Kilichofatia tulipigika na kusulubika mtaa mzima aise na kuna mzee mmoja kwenye hilo sakata alipigwa rungu la tumbo akalia huku akisema "maaaaayoooo nimepigwa tumbo la rungu"
 
hawa jamaa wanapiga sio mchezo mkuu
 
Kuna siku saa 9 alasiri, nimetupia pensi nyeupe nimetoka getini Niko taratibu naelekea dukani alafu Nina kisirani Cha hasira hasira..
Ikapita gari ndogo karibu yangu, kwa bahati mbaka au makusudi nilirushiwa maji yakachafua nguo nikasema nimepata wakumalizia hasira zangu..
Naifata gari kupaka huku na hema juu juu..
Ikasimam yenyewe bhana . .Mimi puu mbaka dirishani , kioo hakikushushwa nikamwaga Sana shomboo mwaga sanaaa.
Nikaona haitoshi, nikawa nalazimisha ashushe kioo au afungue Mlango.
Mara bin vuu kafungua, gwanda hizi hapo alafu wako 4 , kilichofata Ni historia .
 
Kama walikupoga Basi walikuonea
 
Wase*** tu hawa wanatakaga sifa ,vitani huwa wanajinyeaga mizinga ya adui ikianza kuunguruma.Siku moja nataniana na jamaa yangu kwenye simu namuambia afande fulani ameshushwa cheo kuwa kuruta,Huyu jamaa yetu mwingine niliokuwa nasema ameshushwa cheo wala sio mjeshi.Wakati naongea kumbe kuna fala wa kijeshi ananisikiliza,alinisumbua sana siku ile,halafu alikuwa tungi,angenigusa na tungepambana.
 
huwa nikiangalia mapigano ya wanajeshi wetu nacheka sana (weupe mno)
labda wakiwa kundi .

mtoa mada ulishashuhudia mjeshi anapigana na raia akiwa peke ake

utacheka sana
sijawahi washuhudia, vipi wanapgika mkuu?
 
Kuna siku saa 9 alasiri, nimetupia pensi nyeupe nimetoka getini Niko taratibu naelekea dukani alafu Nina kisirani Cha hasira hasira..
Ikapita gari ndogo karibu yangu, kwa bahati mbaka au makusudi nilirushiwa maji yakachafua nguo nikasema nimepata wakumalizia hasira zangu..
Naifata gari kupaka huku na hema juu juu..
Ikasimam yenyewe bhana . .Mimi puu mbaka dirishani , kioo hakikushushwa nikamwaga Sana shomboo mwaga sanaaa.
Nikaona haitoshi, nikawa nalazimisha ashushe kioo au afungue Mlango.
Mara bin vuu kafungua, gwanda hizi hapo alafu wako 4 , kilichofata Ni historia .
walikufanyaje mkuu?
 
Wase*** tu hawa wanatakaga sifa ,vitani huwa wanajinyeaga mizinga ya adui ikianza kuunguruma.Siku moja nataniana na jamaa yangu kwenye simu namuambia afande fulani ameshushwa cheo kuwa kuruta,Huyu jamaa yetu mwingine niliokuwa nasema ameshushwa cheo wala sio mjeshi.Wakati naongea kumbe kuna fala wa kijeshi ananisikiliza,alinisumbua sana siku ile,halafu alikuwa tungi,angenigusa na tungepambana.
mkuu hata wewe ukipelekwa vitani lazima utajinyea, nao ni binadam hawapendi kufa ndo maana wanakua hivo.
 
Nakumbuka wazee wa yowe na kufata nyayo wakiwa na silaha zao za jadi panga,rungu,mishale na vingine vingi walijichanganya wakaingia kambi ya jeshi eti kufata nyayo wanaziona zimeingia jeshini..kilichotokea mungu yupo
 
ilikuwaje mkuu?
 
Katika butter niliyo waho kushuhudia ni ya polisi na wanajeshi live bila chenga nikawa nimegundua kitu

Nani mwingine ashawahi shuhudia
 
Back
Top Bottom