Je, ushawahi kumfumania mpenzi wako au kufumaniwa? Ilikuwaje?

Je, ushawahi kumfumania mpenzi wako au kufumaniwa? Ilikuwaje?

Unasema huwezi kuelezea basi hii story umeitunga ili tukuone na wewe ulikuwa ughaibuni!!
 
Hiyo kitu ni mbaya sana usiombe ikukute!!
Sijawahi waza kufumania wala kufumaniwa... Nijue tu ana michepuko lakini ujasiri wa kushuhudia sinaaa nikiona yamenishinda nakupisha tuu!!!

Maisha yenyewe ndo matamu hivi, naanzaje kujitafutia presha mie kwa mafumanizi!!!

Lile ni picha la X live, mbaya zaidi lamhusu mtu anaekupooza weee, weka mbali kabisaa
 
Pole sana ndg, ila sasa kwa sie tuliobna elimu ya mahusiano tunafundishwa baada ya wewe kumbamba kihvyo, ulipaswa uongeze matumizi na kuendelea na maisha bila ya kumuuliza CHOCHOOOTE, wiki moja tu angeleta kisu ili umchinje. Hapo ujue shule imemwingia na kamwe ASINGERUDIA ujinga huo ktk maisha yake yoote.
 
Back
Top Bottom