Je, ushawahi kumfumania mpenzi wako au kufumaniwa? Ilikuwaje?

Je, ushawahi kumfumania mpenzi wako au kufumaniwa? Ilikuwaje?

Fumanizi zuri ni lile la kupanga yan ushamshtukia nyenso zake mud mref alafu ukaweka mtego yn mpk raha
 
Nimesoma kichwa cha habar mapigo ya moyo yameongeza kasi.Je,siku nafumania sjui itakuwaje
 
We acha tu nkaipna chenga ya mwili kumbe ukitoka anakuja mwingine kukaa nae yaan full mpishano
 
Mtu unawezaje tumia dushe mbili kwawakati mmoja!!! Yaani leo upo na nyingine, kesho upo na nyingine!!! [emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]
Ndo maana wakaka wanaolalamika kubusu mabwawa wameongezeka aisee!
Wapo wenzio wanazitumia adi 5 we unashangaa 2
 
Wamasai wananifurahisha sana, ukiwa umesafiri na ukarudi ghafla, na ukakuta mkuki mlangoni kwako, we rudi katafute sehemu ulale, kisha rudi kumekucha, na hutakiwi kuuliza eti ulikuwa na nani, ingia ndani na endelea kutafuna mzigo.
 
Mtu unawezaje tumia dushe mbili kwawakati mmoja!!! Yaani leo upo na nyingine, kesho upo na nyingine!!! [emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]
Ndo maana wakaka wanaolalamika kubusu mabwawa wameongezeka aisee!
Paprika pussy kama ni bwawa ni bwana tu.
Ila mimi sijawahi kuona p ya tofauti mm naona zote sawa na mtu akisema bwawa sijui ipoje manake unamuandaa mwezako ili awe horny. Sasa si ndio bwawa hilo? Anyway.
Wanaojitambua hawaweZi kutumikia mabwana wawili au wanawake wawili at the sana time.
Magonjwa mengi nowdays
 
Nilikuwa na girl flani nkampendaa sanaa na kumuaminii..ikafika stage ya kupeana namba za siri za Facebook..nlikuwa sipendi kabisaa kuingia kwenye account yakee...but kuna siku sasa nkasema ngoja niingie nione japo kidogo...Duuh nlivyovionaa.. Kuna jamaa alikuwa anasema ni rafiki akee nkakuta kamtumia Picha za dudu...mara sijui nae kamtumia picha za Utupuu.. Yanii!! Nliishiwa na nguvu nlihisi mpaka kuzimia... Maana binti nae alikuwa anajifanya mcha Mungu sanaaa..
 
Nilikuta nguo za mwanamke wake kuuliza akanijibu kuna mdada namdai hivyo nashikilia nguo zake.Nilipoondoka sikurudi tena hadi leo.Huwa sipendi maumivuvya moyo
Yaaani! Alikuona ww kiazi sana ee
 
Nilikuwa na girl flani nkampendaa sanaa na kumuaminii..ikafika stage ya kupeana namba za siri za Facebook..nlikuwa sipendi kabisaa kuingia kwenye account yakee...but kuna siku sasa nkasema ngoja niingie nione japo kidogo...Duuh nlivyovionaa.. Kuna jamaa alikuwa anasema ni rafiki akee nkakuta kamtumia Picha za dudu...mara sijui nae kamtumia picha za Utupuu.. Yanii!! Nliishiwa na nguvu nlihisi mpaka kuzimia... Maana binti nae alikuwa anajifanya mcha Mungu sanaaa..
Usithubutu kushika sim ya mkeo ay gf au fb . Labda kama mnataka kuachana hapo sawa
 
unakosea unapoweka ktk mfumo wa swali, JF kuna kila visa, ulipaswa tu usema njooni hapa mliofumania na kufumaniwa
 
Back
Top Bottom