Je, ushawahi kumfumania mpenzi wako au kufumaniwa? Ilikuwaje?

Je, ushawahi kumfumania mpenzi wako au kufumaniwa? Ilikuwaje?

Wapi anajipigia promo tu huyo.

Nina swali. Hivi mwanaume akimtaka mwanamke anatakiwa amwambie mwanamke amtafute au mwanaume mwenyewe anatakiwa aende jirani?
[emoji23] [emoji23] jirani apo me ndo ninapopa shangaaa
 
Mi shawahi kufumaniwa. Sikia na mtu. Jama alinidanganya hana mchumba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ila sikia kwamwenzio uasikukute
 
Mi shawahi kufumaniwa. Sikia na mtu. Jama alinidanganya hana mchumba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ila sikia kwamwenzio uasikukute

Ilikuaje mzee
 
Hata baada ya Magu kusoma thread kama hizi, juzi ali conclude kuwa ni ngumu kuulinda muungano kama kulinda ndoa ilivyo vigumu...
 
Mie nilifuma boy wangu ongopa sana mwanaume anayekwambia hapend suprise. Sikuwa nimepanga kumsuprise ila siku hyo sikuwa na credit uwiii huwa sitamani kukumbuka but uzuri ni kwamba maumiv yaliisha nikazoea
 
sijawahi kufumania wala kufumaniwa.
siku nikifumania ntafurahi maana ntawafanyia tukio lisilo na madhara kiafya bali kifikra[emoji23][emoji23]
 
Unapofumania mpenzi,Mke in kua penzi limekwisha Sikh nyingi hivyo we angalia utaratibu utakao kufaa. huna haja ya shari wala ngumi we anza, kama chumba ni chake anza fasta. Km ni kwako mpe ruksa. Sio riziki huyo.na ukimaliza hayo ukae chini ujitathimini labda ulikosea au umebeba wa bei rahisi au hayuko sure nawewe.
 
Fumanizi zuri ni lile la kupanga yan ushamshtukia nyenso zake mud mref alafu ukaweka mtego yn mpk raha

Leo unajuta na yako, si bora ungekuwa umeongeza kasentensi ungeshauriwa, uzi uliorusha jana husingeufikiria..ila huyo rafiki yako kama single asilimia 99.6% ni mke mwenzako tangu zamani ila wanakuchora.
 
Juzi nilikuwa kwenye ndege nimekaa na dada mmoja seat zimefuatana ktk maongezi mengi ya kufahamiana akaniuliza swali?!
Embu tumwite huyu dada jina la Caroline

Caroline: umeolewa?! Una watoto wangap?!

Money Penny: ndio, watoto 3 wajukuu 3

Caroline: noo waaay.. mbona unaonekana mdogosana mimi nilijua Una miaka 25?!

Money penny: nikacheka, nikamwuliza wewe Umeshaolewa?!

Caroline: Ndio, ila nipo divorced

Money Penny: oh pole jaman, what happened (ilikuwaje?!)

Caroline: Mume ali-cheat na rafikiyangu nikawafumania baada ya kutonywa na mtu ina mana walianza huu mchezo muda sana. .. nikaachana nae nikashinda kesi mahakamani nikaondoka na watoto ijapokuwa nimemruhusu kwa mwezi mara 8 aje achukue watoto ila hawalali kwake. .

Money Penny: pole sana, nikachoka kweli wazungu wahapendi ujinga nikikufuma tu nakuacha

Caroline: asante, ulishawahi kumfumania mpenzi wako? !

Money Penny: ndio, my ex boyfriend

Caroline: ikawaje?! Ulimwacha?!

Money penny: hapana aliondoka mwenyewe

Caroline: sijakuelewa hapo bado aliondokaje?!

Money Penny: hata mimi nilitonywa kama wewe nikawafumania nyumbani kwa ex wangu ndio Kwanzaa ex amekoleaa juu analia
Nikafungua mlango nikakaa nawaangalia wanaimba yeeees yeeees yeeees kuja kushtuka nimekaa nawaangalia

Caroline: Mungu wangu, what happened next?!

Money Penny: waliponiona wakashtuka wakaanza kuogopa, nikavua nguo nikawa-join tukafanya three sum lakini mimi ndio kiranja

Yule mchepuko akikosea namwelekeza wapi ampe raha ex anakolea kweli nilipoona mchepuko amefuzu nikavaa nguo nikaondoka

Usiku huo huo ex alinitafuta anaomba msamaha anasema hajawahi kukutana na kichaa asiekuwa na roho kama mimi anaomba msamaha

Nikamjibu nimekusamehe ila siwezi kuendelea na wewe, nikamdanganya natembea na baba yako na ana dushe kubwa zaidi yako kwahiyo hata nikirudi kwako sitaenjoy kama navy enjoy kwa baba yako

Yule ex hakuamini nahisi alipata mshtuko alimchukua miaka 10 mpaka nimemaliza kuzaa watoto 3 ndio akaoa

Caroline: doh kweli waTz ni stronger

Money penny: ndio sisi ni stronger, haya maisha usikubali kufa kiboyaboya lazma mgawane maumivu

Nikuulize wewe mpenzi msomaji ulipomfumania mpenzi/ mke/ mume wako ulichukua hatua gani?! Au ndio ukafa na tai yako shingoni ukamwachia Mungu kama wapendwa?!

Money Talk Kichaafulani Ngosha jr Ngosha Mashine Jiwedogo Vladimirovich Putin
 
Back
Top Bottom