Je, ushawahi kumfumania mpenzi wako au kufumaniwa? Ilikuwaje?

Je, ushawahi kumfumania mpenzi wako au kufumaniwa? Ilikuwaje?

sijawah waza hayo masha!na sijawah fumania/fumaniwa!
Kwanza hutakiwi kupanic hapo ndo utapomchezea akili yake kwa muda mrefu kuna mdingi alifumwa na mkewe jinsi anavyojipendekeza sasa wiki ilopita kamnunulia harrier mamsapu wake hiyo yote anajiombesha msamaha maza mwnyw sasa anaoshea watu vyombo km hana akili
 
Back
Top Bottom