Je, ushawahi kumfumania mpenzi wako au kufumaniwa? Ilikuwaje?

Je, ushawahi kumfumania mpenzi wako au kufumaniwa? Ilikuwaje?

Kwanza hutakiwi kupanic hapo ndo utapomchezea akili yake kwa muda mrefu kuna mdingi alifumwa na mkewe jinsi anavyojipendekeza sasa wiki ilopita kamnunulia harrier mamsapu wake hiyo yote anajiombesha msamaha maza mwnyw sasa anaoshea watu vyombo km hana akili
"kuoshea watu vyombo" ndo kufanyaje kapeace?
 
Unajua kila kabila lina namna yake ya ku react wanapofumaniana. Hebu imagine ufumaniwe na Mkurya/Mtende kama hujaondoka kiungo kimoja huna, Muhaya akifumania hana noma, Mzaramo akimfumania mkewe atasogea pembeni aanze kulia huku anawaangalia wanavopiga game, halafu huyo mgoni wake akiondoka Mzaramo anatoa pole kwa mkewe 'Mke wangu pooolee'
 
Unajua kila kabila lina namna yake ya ku react wanapofumaniana. Hebu imagine ufumaniwe na Mkurya/Mtende kama hujaondoka kiungo kimoja huna, Muhaya akifumania hana noma, Mzaramo akimfumania mkewe atasogea pembeni aanze kulia huku anawaangalia wanavopiga game, halafu huyo mgoni wake akiondoka Mzaramo anatoa pole kwa mkewe 'Mke wangu pooolee'
Hahahaha
Wachaga je
 
Juzi nilikuwa kwenye ndege nimekaa na dada mmoja seat zimefuatana ktk maongezi mengi ya kufahamiana akaniuliza swali?!
Embu tumwite huyu dada jina la Caroline

Caroline: umeolewa?! Una watoto wangap?!

Money Penny: ndio, watoto 3 wajukuu 3

Caroline: noo waaay.. mbona unaonekana mdogosana mimi nilijua Una miaka 25?!

Money penny: nikacheka, nikamwuliza wewe Umeshaolewa?!

Caroline: Ndio, ila nipo divorced

Money Penny: oh pole jaman, what happened (ilikuwaje?!)

Caroline: Mume ali-cheat na rafikiyangu nikawafumania baada ya kutonywa na mtu ina mana walianza huu mchezo muda sana. .. nikaachana nae nikashinda kesi mahakamani nikaondoka na watoto ijapokuwa nimemruhusu kwa mwezi mara 8 aje achukue watoto ila hawalali kwake. .

Money Penny: pole sana, nikachoka kweli wazungu wahapendi ujinga nikikufuma tu nakuacha

Caroline: asante, ulishawahi kumfumania mpenzi wako? !

Money Penny: ndio, my ex boyfriend

Caroline: ikawaje?! Ulimwacha?!

Money penny: hapana aliondoka mwenyewe

Caroline: sijakuelewa hapo bado aliondokaje?!

Money Penny: hata mimi nilitonywa kama wewe nikawafumania nyumbani kwa ex wangu ndio Kwanzaa ex amekoleaa juu analia
Nikafungua mlango nikakaa nawaangalia wanaimba yeeees yeeees yeeees kuja kushtuka nimekaa nawaangalia

Caroline: Mungu wangu, what happened next?!

Money Penny: waliponiona wakashtuka wakaanza kuogopa, nikavua nguo nikawa-join tukafanya three sum lakini mimi ndio kiranja

Yule mchepuko akikosea namwelekeza wapi ampe raha ex anakolea kweli nilipoona mchepuko amefuzu nikavaa nguo nikaondoka

Usiku huo huo ex alinitafuta anaomba msamaha anasema hajawahi kukutana na kichaa asiekuwa na roho kama mimi anaomba msamaha

Nikamjibu nimekusamehe ila siwezi kuendelea na wewe, nikamdanganya natembea na baba yako na ana dushe kubwa zaidi yako kwahiyo hata nikirudi kwako sitaenjoy kama navy enjoy kwa baba yako

Yule ex hakuamini nahisi alipata mshtuko alimchukua miaka 10 mpaka nimemaliza kuzaa watoto 3 ndio akaoa

Caroline: doh kweli waTz ni stronger

Money penny: ndio sisi ni stronger, haya maisha usikubali kufa kiboyaboya lazma mgawane maumivu

Nikuulize wewe mpenzi msomaji ulipomfumania mpenzi/ mke/ mume wako ulichukua hatua gani?! Au ndio ukafa na tai yako shingoni ukamwachia Mungu kama wapendwa?!

Money Talk Kichaafulani Ngosha jr Ngosha Mashine Jiwedogo Vladimirovich Putin
Hahahaa Mbavu zangu "kweli kiboyaboya "hahaa
 
Back
Top Bottom