Je, ushawahi kumfumania mpenzi wako au kufumaniwa? Ilikuwaje?

Je, ushawahi kumfumania mpenzi wako au kufumaniwa? Ilikuwaje?

Sijui kama ipo siku nitafumaniwa aisee,

Napia sidhani kama ntafumania kwa sababu ntaua,

Binafsi napenda sana Ngono na sidhani kama mwanamke mmoja atamudu ila nahakikisha kama ikotokea kajua kama napakua nje basi atakuwa alidhamiria baada ya miaka no password kwa simu na vitu vyangu vyote vipo wazi ila najua mwenyewe

Sijaoa bado nasema hayo kama nitaoa
 
Maza ni boya
Hizi neema ningepataga mie ningezitumia sjui kwanini hazinipati
Maza ni boya kweli wala hudanganyi hajui kucheza na fursa na mzee wake anastaafu 2020 lkn maza kalala anafurahia madeko
 
Kwanza hutakiwi kupanic hapo ndo utapomchezea akili yake kwa muda mrefu kuna mdingi alifumwa na mkewe jinsi anavyojipendekeza sasa wiki ilopita kamnunulia harrier mamsapu wake hiyo yote anajiombesha msamaha maza mwnyw sasa anaoshea watu vyombo km hana akili
Hahaa unamaanisha hata nikitaka unanioshea?
 
Kwanza hutakiwi kupanic hapo ndo utapomchezea akili yake kwa muda mrefu kuna mdingi alifumwa na mkewe jinsi anavyojipendekeza sasa wiki ilopita kamnunulia harrier mamsapu wake hiyo yote anajiombesha msamaha maza mwnyw sasa anaoshea watu vyombo km hana akili
Kuoshea vyombo ndo nini mkuu? Hapo umeniacha haki.
 
Back
Top Bottom