dokolombwike
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 373
- 623
Nisiwachoshe, kuna msichana nilipewa namba yake na nikaelezwa jinsi alivyo nayeye akapewa namba yangu akaelezwa jinsi nilivyo,basi tukaendelea kuwasiliana na kupanga mipango ya kuja kukutana,Ila cha ajabu sasa juzi alinipigia cm,akasikia kama sauti za kike zinaongea akakata cm,halafu akampigia huyo rafiki alienipa namba Mimi na kimsimulia kilichotokea,na ni mtu anaeonekana ananipenda sana japokuwa hatujaonana, je ilishawah kukukuta situation kama hii,je mlivokuja kuonana upemdo uliendelea au ulipungua?