Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,475
- 11,674
Mambo ya kutajwa jina..Halafu kinachoniuma mara ya mwisho nilikuwa nawasiliana nae mimi, nakumbuka akaniambia subiri kidogo, basi nikakata cm,kuanzia hapo ndo akawa hapatikani kama siku tatu hv wakati sio kawaida yake, ndo nikaja kupigiwa na rafiki yake akaniambia aligongwa na pikipiki mid a ya saa moja jioni,na yupo I.c.u,hajitambui,ndo akaja kuzinduka kesho yake, na alivozinduka ndo akawa anataja jina langu,daah aiseee
Nakumbuka miaka mingi nkiwa secondary .mi sina hili wala like monitor ananipa story,ooh nna rafiki yangu yuko kidato cha chini yetu,kafall in love na wewe vibaya ila anakuogopa!
Miaka ya baadae kijana nkaja kutana nae mtaani bado tu.nkaona ngoja nijaribu
Baada ya kama mwezi akashikwa na homa Kali hadi analegea..katundikiwa dripu mfululizo hawez nyanyuka..cha ajabu ndugu take ananiambia mda wote anakutaja wewe tu..nkabaki tu naduwaa