Je, ushawahi kumpenda mtu ambaye haujawahi kumuona?

Je, ushawahi kumpenda mtu ambaye haujawahi kumuona?

Daaah aiseee, yaani huyu wa kwangu juzi kati alipata ajali akapoteza faham,sasa wakati anazinduka akawa anataja jina langu,sasa ndugu wakawa wanajiuliza huyu ni nani anatajwa bila kujua chochote,kumbuka hajawahi kuniona hadi naogopa
Mzee baba kama amekusimulia mwenyewe unapigwa changa hapoo...[emoji23]
 
Baada ya kuzinduka mama ake na huyo binti alimpigia yule rafiki ake alonipa namba na kumuuliza unamfahamu mtu flani, mbona rafiki yako alivozinduka anataja jina la huyo mtu(ambaye ni Mimi sasa) yule lakin ye akasema halifaham hilo jina,labda watamuuliza mwenyewe akirudi vizuri kwenye hali yake
Hayo yote anakusimulia rafiki aliyepigiwa simu na mama au anakusimulia huyo aloyekupenda..?[emoji16]
 
Ila dem nikimwambia aniambie yupoje,ananiaambia yeye ni mwembamba ila amenenepa kuanzia kiunoni kushuka chini,kumbuka yupo kijijin mtwara huko na huko hakuna smart phone ni mwendo wa vitochi tu, hapo kwenye kutanuka kuanzia kiunoni kushuka chini ndo huwa nadata.
Nakwambia tena kuwa makini 😀😀😀😀😀😀
 
Nisiwachoshe, kuna msichana nilipewa namba yake na nikaelezwa jinsi alivyo nayeye akapewa namba yangu akaelezwa jinsi nilivyo,basi tukaendelea kuwasiliana na kupanga mipango ya kuja kukutana,Ila cha ajabu sasa juzi alinipigia cm,akasikia kama sauti za kike zinaongea akakata cm,halafu akampigia huyo rafiki alienipa namba Mimi na kimsimulia kilichotokea,na ni mtu anaeonekana ananipenda sana japokuwa hatujaonana, je ilishawah kukukuta situation kama hii,je mlivokuja kuonana upemdo uliendelea au ulipungua?
Ushaibiwa pumbavu
 
Nimekumbuka Mbalii.
Tulipendana na mkaka mwaka mzima kuongea usiku mpaka Kuna kucha...wakati Niko boarding 6 hapo ye alikua mkoa mwingine nimemaliza chuo nikabaki mjin kwa mamdogo Kama two weeks namsubir aje tuonane ndo alipata likzo yake na nilipo ndo mkoani kwao

Looh sitasahau nilivyomuona nilitaman kukimbia sema ndo hivo tu ubinaadam
[emoji23][emoji23][emoji23] jamani siumalizie alikuaje
 
Back
Top Bottom