Je, ushawahi kumpenda mtu ambaye haujawahi kumuona?

Je, ushawahi kumpenda mtu ambaye haujawahi kumuona?

Nimekumbuka Mbalii.
Tulipendana na mkaka mwaka mzima kuongea usiku mpaka Kuna kucha...wakati Niko boarding 6 hapo ye alikua mkoa mwingine nimemaliza chuo nikabaki mjin kwa mamdogo Kama two weeks namsubir aje tuonane ndo alipata likzo yake na nilipo ndo mkoani kwao

Looh sitasahau nilivyomuona nilitaman kukimbia sema ndo hivo tu ubinaadam
Yani balaa sana me kuna mdada nilimuona nkiwa form 3 so nkampenda tukaendelea kuwasiliana japo sio sanaa lakini ikapita miaka kama 8 hivi nkasema ngoja nikaonane naee duuh yani mpaka nikashangaa nilimpendea nini yani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]
 
Ishanitokea zaidi ya mara moja....mbili....tatu nk.

NB: Mara nyingi wanaokutwa na hizi hali ni wanaopenda kwa kukutana kwenye social networks
 
I see, lakini hiki si kipindi cha technology?? Naskia ni rahisi kutumiana picha, basi hata kwa picha hujamuona?? Au mara unaweza tumiwa picha kumbe sie muhusika???
Picha? Aaah hamna mtu anasend picha aliyotokea vibaya...

Kitu laivu..
Uzuri wake watu wanatofautiana wanachopenda.. ukipenda muonekano inakula kwako..

Wengine ni #sapiosexuals# Hao hawapati tabu in laivu situations
 
Back
Top Bottom