Je, ushawahi kumpenda mtu ambaye haujawahi kumuona?

dokolombwike

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
373
Reaction score
623
Nisiwachoshe, kuna msichana nilipewa namba yake na nikaelezwa jinsi alivyo nayeye akapewa namba yangu akaelezwa jinsi nilivyo,basi tukaendelea kuwasiliana na kupanga mipango ya kuja kukutana,Ila cha ajabu sasa juzi alinipigia cm,akasikia kama sauti za kike zinaongea akakata cm,halafu akampigia huyo rafiki alienipa namba Mimi na kimsimulia kilichotokea,na ni mtu anaeonekana ananipenda sana japokuwa hatujaonana, je ilishawah kukukuta situation kama hii,je mlivokuja kuonana upemdo uliendelea au ulipungua?
 
 
Yes,nakumbuka ilikuwa kwa social network moja hivi!Tulianza mawasiliano na kupeana namba,kipindi hicho mambo ya whatsapp,fb na insta bado!Tulishare mambo mengi mpaka nikahisi namjua na yeye pia ananijua,yaani alikuwa na details zangu kuliko hata marafiki zangu!Nami nilikuwa na details zake mpaka uvunguni kabisa!Ilikuwa ukinipa mike niongee kuhusu yeye na familia yake basi utasema nimeijua familia yake miaka mingi sana!Tulivyojuana kiasi hicho,tulikuja kushtuka tuko wapenzi tayari na ahadi kemkem!Tukapanga kukutana na ikawa,upendo ulikomaa zaidi!!
Tulidumu kwenye uhusiano kwa muda mrefu,Unfortunately kuna mambo yalituingilia ambayo hayakuwa ndani ya uwezo wetu,penzi likavunjika japo mpaka sasa upande wake na wangu tunalaumu hilo suala lililoingilia uhusiano wetu!Tunawasiliana kirafiki tu,ana mchumba nami nami ninaye mwingine!
 
Daaah aiseee, yaani huyu wa kwangu juzi kati alipata ajali akapoteza faham,sasa wakati anazinduka akawa anataja jina langu,sasa ndugu wakawa wanajiuliza huyu ni nani anatajwa bila kujua chochote,kumbuka hajawahi kuniona hadi naogopa
 
Ngoja nikomae nae anaweza akawa wife,maana mi mwanamke nikimsababisha alie kwa ajili yangu huwa ananivutia sana,maana hawa wengine ni sijawahi kuona machozi yao hata wakisikia nimetobolewa macho,yaan ni wakavu tu.
 
Ulijuaje kuwa alitaja jina lako?
Baada ya kuzinduka mama ake na huyo binti alimpigia yule rafiki ake alonipa namba na kumuuliza unamfahamu mtu flani, mbona rafiki yako alivozinduka anataja jina la huyo mtu(ambaye ni Mimi sasa) yule lakin ye akasema halifaham hilo jina,labda watamuuliza mwenyewe akirudi vizuri kwenye hali yake
 
Halafu kinachoniuma mara ya mwisho nilikuwa nawasiliana nae mimi, nakumbuka akaniambia subiri kidogo, basi nikakata cm,kuanzia hapo ndo akawa hapatikani kama siku tatu hv wakati sio kawaida yake, ndo nikaja kupigiwa na rafiki yake akaniambia aligongwa na pikipiki mid a ya saa moja jioni,na yupo I.c.u,hajitambui,ndo akaja kuzinduka kesho yake, na alivozinduka ndo akawa anataja jina langu,daah aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…