Je, ushawahi kumpenda mtu ambaye haujawahi kumuona?

hii haina tofauti na Forex trade.
 
Kuna kabinti kalikuwa kanasoma fom five, kaliiba namba kwa rafiki ake ambae alikuwa binamu yangu....

Basi msg za hapa na pale, sikumpenda ila alinipenda sanaa...

Sikuwahi kulala nae, lakini kwasasa ananichukia sanaa.....
 

Yes it’s possible tena sana tu, Mimi imeshanitokea. Ila kuomba Mungu huyo mtu awe wa kuaminika.
 
Mmenikumbusha mbali sana.

Kuna rafiki yangu alikutana na mdada online wakapendana sana, basi wakapanga wakutane katika bar moja jijini. Yule kaka ni mtoto wa kishua sana na wazazi wake wapo poa mno. Akamuomba mama yake amdrive mpaka hiyo bar ili akutane na huyo mdada, wakimaliza atampigia amfuate.

Basi mkaka akafika Eneo la tukio akaagana na Bi mkubwa na kumuahidi akimaliza amjulishe amfuate. [emoji23][emoji23] Baada ya Dk 5 yule mdada akafika eneo la tukio, mmmmmmh mambo si mambo mdada mrembo haswa. Walisalimiana na kuagiza vinywaji, yule dada akaomba kwenda toilet kabla hata ya kuonja Soda. Kilichotokea ni aibu [emoji23][emoji23][emoji23] Yule dada alitokomea huko huko toilet [emoji85][emoji85]. Yule mama hata hakufika home ikabidi arudi kumfuata kijana wake.
 
hilo lipo, hasa humu kwenye mitandao, wakware tunateseka sana!!
 
hilo lipo, hasa humu kwenye mitandao, wakware tunateseka sana!!
 

🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kwenye social media unakuta mtu anaweka picha yake nusu,sasa moja nikavutiwa nayo nikamuendea inbox.Tukawa tunaendelea kuwasiliana,kupeana details mbalimbali na shughuli za kila mmoja.Siku moja akasema mwenyewe simu yake inapata shida ya internet so akatoa namba incase nikihitaji tuwasiliane kwa njia ya simu/sms n.k.Ikatokea siku nimepata trip ya Mkoa alipo nikamwambia tukaonana,,,,Bwanabwanaaa Mtoto Mashallah.Nikamuuliza mbona median umeweka picha nusu (akasema wandewa wakiona picha nzuri wanasumbua sana).Kilichofuata I.T.V naishia hapo,
 
Bila shaka ni ukristo na uislamu tu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kukimbia ili iweje madam au ulikutana na kijamaa kama eric omondi πŸ˜‚
 
hahah taste and preferences change with time🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…