Digging deeper
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 787
- 512
- Thread starter
- #41
hapana napinga kiongozi ni skills kama huna uwezi kuwaAsiyependa uongozi ndiye kiongozi hasa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapana napinga kiongozi ni skills kama huna uwezi kuwaAsiyependa uongozi ndiye kiongozi hasa!
uongozi ni kipaji kama huna uwezi kuwa kiongozi😁😁😁😁Inategemea mkuu. Nimewahi kuwa kiongozi katika mazingira tofauti.
Mara ya mwisho fomu ya uongozi wa juu kabisa(kwenye taasisi hiyo) nilijaziwa na wenzangu baada ya kuona sina mpango wa kuomba.
Waliamini nafaa na kweli nilitenda kama matarajio yao. Changamoto kidogo zilikuwepo lakini hazikufanya mambo kuharibika.
Kama ilivyo ada, ukipendwa na kundi la walio chini utachukiwa na baadhi walio juu. Lakini hali ilikuwa tofauti, makundi yote yaliunganishwa kwa namna ya kipekee sana.
Sitosahau hotuba yangu ya kuaga ambayo Pr..... alishindwa kuvumilia na kutoa machozi kabla ya kuondoka ukumbuni.
Hakika uongozi mzuri huacha alama ya kumbukumbu nzuri.
Skills ndo anakuwa nazo huyo asiyetaka na mpaka apewe (alazimishwe) ndipo zitakapojionesha hizo skills zake...hapana napinga kiongozi ni skills kama huna uwezi kuwa
Challenge nilipata nikiwa monitress dalasa la nne shule nzima kulikua kuchafu madarasa machafu tuko assemble mwalim akasema vilanja WOTE na mamonita wapite mbele watu wakapita mi nikauchuna na mwalim alikua ananijua vzr akauliza monitress wa dls la nne yuko wapi? Watu wakasema huyu huku[emoji849][emoji849][emoji849] nilikakana cheo mchana kweupeee japo leaders WOTE tulichapwa huko kwingine mtelemko tu mkaka ukinizingua nakuvaa mwalim akija namwambia ananidharau kisa mimi ni wakike so ana anachapwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hongera mrembo je challenge gani asa ulizipata kama head girl[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]unaonekana una uwezo
hahahahahahahhhaha sema nyinyi viongozi wa shule ya msingi mlikuwa mnajidai sana kwa vile watu akili zilikuwa chenga basi mlikuwa mnabua tu upuuzi😂😂😂😂😂😂sema kuwa kiongozi rahaa ufanyi usafi vipi kuusu kuhesabu numberChallenge nilipata nikiwa monitress dalasa la nne shule nzima kulikua kuchafu madarasa machafu tuko assemble mwalim akasema vilanja WOTE na mamonita wapite mbele watu wakapita mi nikauchuna na mwalim alikua ananijua vzr akauliza monitress wa dls la nne yuko wapi? Watu wakasema huyu huku[emoji849][emoji849][emoji849] nilikakana cheo mchana kweupeee japo leaders WOTE tulichapwa huko kwingine mtelemko tu mkaka ukinizingua nakuvaa mwalim akija namwambia ananidharau kisa mimi ni wakike so ana anachapwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hahahhahahhahahah mimi mwenyewe nishawai kataaa umonitor kuongoza watu kunaitaji moyoSkills ndo anakuwa nazo huyo asiyetaka na mpaka apewe (alazimishwe) ndipo zitakapojionesha hizo skills zake...
Anyway, nimewahi kuwa monitor ordinary level halafu nikajiuzulu (kipindi kile bado kuna jotojoto la mheshimiwa waziri mkuu kujiuzulu) basi nikaitwa Lowassa!
Me hata O level nimeupeta sana nilikua leader girl mtata [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hahahahahahahhhaha sema nyinyi viongozi wa shule ya msingi mlikuwa mnajidai sana kwa vile watu akili zilikuwa chenga basi mlikuwa mnabua tu upuuzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sema kuwa kiongozi rahaa ufanyi usafi vipi kuusu kuhesabu number
Me shule zijafanya kazi yoyotehahahahahahahhhaha sema nyinyi viongozi wa shule ya msingi mlikuwa mnajidai sana kwa vile watu akili zilikuwa chenga basi mlikuwa mnabua tu upuuzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sema kuwa kiongozi rahaa ufanyi usafi vipi kuusu kuhesabu number
Me kanisan hapana na sijui kwanini wakati kalama hiyo ninayo...mimi nilipataga double upande wa shule + kanisani yaani huku na huku[emoji1787]
Kiongozi lazima upate dy/dx mtereremko hongera zako😂😂😂😂😂😂Me shule zijafanya kazi yoyote
Ongera sana kuwa kiongozi ni nyota mkuu vip experience maana advance mambo mengiBinafsi ordinary level nilikuwa Waziri wa Elimu na Taaluma
Advanced level nikawa President wa shule(Head Bwoy)
Kiongozi ni kipawa lazime kuwe na wito kama una uwezi kuwa kiongoziSijawahi kupenda wala kutamani kuwa kiongozi wa mtu: Kwasbabu binafsi napenda kufanya mambo yangu bila kuingiliwa wala kupangiwa na mtu yoyote yule.
Mbali na Mwenyezi Mungu, huwa siamini kabisa kwamba kuna mwanadamu ameumbwa ili kutawala na kuwapangia wenzake jinsi ya kuishi.
Ulikuje mrembo😂😂😂😂😂😂mnoko auMe hata O level nimeupeta sana nilikua leader girl mtata [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unoko hapanaUlikuje mrembo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mnoko au
Ni changamoto sana kuongoza watu wazima hasa ktk small group of people ambao kila siku mnaonana na kulala pamojaOngera sana kuwa kiongozi ni nyota mkuu vip experience maana advance mambo mengi
hahahahahah boys kama wote wanakutafutaUnoko hapana
hahahahahha mkuu advance kiukweli ukitaka mambo yasiende ni ishu za msosi😁😁😁😁😁😁kama kiongozi aupo makini lazima migomo itokee sababu wote wanasoma sana na pia kula hivyo ni vitu muhimu kwa wanafunzi wa advanceNi changamoto sana kuongoza watu wazima hasa ktk small group of people ambao kila siku mnaonana na kulala pamoja
Ilitokea niliongoza migomo 2 pale shule kutokana na changamoto mbalimbali hasa Ubabe wa walimu ktk uonevu wa kutoa adhabu kali za suspension kwa kila kosa dogo
Mgomo wa pili, huu ulitokana na kuvurugwa kwa ratiba za kula wali pale shule, huu ndo mgomo huwa nikikumbuka najiona mjinga sana, sometimes najisemea it was full childish
Ila yote kwa yote ilibaki kidogo nifukuzwe shule ila nakumbuka mkuu wa wilaya kipindi hicho alinikingia kifua kwa uongozi wa shule
Huo mdomo walikua wananiogopa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hahahahahah boys kama wote wanakutafuta