the kind
JF-Expert Member
- Nov 6, 2019
- 865
- 707
Poleni na majukumu wanajanvi na tusiache kuchukua tahadhari kwa kipindi hiki kigumu
Kama ilivo ada matatizo hayawezi kukuacha kama yalivokukuta problems never leave us the way they found us yatakubadilisha tu kwa namna moja ama nyingine iwe positively au negatively.
Tumeshuhudia baada ya janga la covid_19 shughuli nyingi sana zimekua zikisimama kwa muda na miongoni mwa shughuli hizo ni michezo mbalimbali ambayo imekua ikileta fursa kwa baadhi ya makundi ikiwemo wale wazee wa kuweka mizigo BETTING
Wako baadhi ya watu ambao wamekua wakitamani sana kuachana na mchezo/kazi hiyo baada ya kuwaletea hasara na covid_19 imekuja kusimamisha/kupunguza kwa muda kwa biashara hiyo na kwa upande mwingine imekua kama faida kwa wengine kama ilivo kila jambo lina faida na hasara na hii pengine ni moja ya faida
Je, wewe unaona covid_19 imetoa njia ya wale ambao wamekua wakitamani kuachana na biashara hiyo kuweza kuacha?