Je, utaendelea na kamari ya betting ligi zikisharudi?

Je, utaendelea na kamari ya betting ligi zikisharudi?

the kind

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2019
Posts
865
Reaction score
707
Poleni na majukumu wanajanvi na tusiache kuchukua tahadhari kwa kipindi hiki kigumu

Kama ilivo ada matatizo hayawezi kukuacha kama yalivokukuta problems never leave us the way they found us yatakubadilisha tu kwa namna moja ama nyingine iwe positively au negatively.

Tumeshuhudia baada ya janga la covid_19 shughuli nyingi sana zimekua zikisimama kwa muda na miongoni mwa shughuli hizo ni michezo mbalimbali ambayo imekua ikileta fursa kwa baadhi ya makundi ikiwemo wale wazee wa kuweka mizigo BETTING

Wako baadhi ya watu ambao wamekua wakitamani sana kuachana na mchezo/kazi hiyo baada ya kuwaletea hasara na covid_19 imekuja kusimamisha/kupunguza kwa muda kwa biashara hiyo na kwa upande mwingine imekua kama faida kwa wengine kama ilivo kila jambo lina faida na hasara na hii pengine ni moja ya faida

Je, wewe unaona covid_19 imetoa njia ya wale ambao wamekua wakitamani kuachana na biashara hiyo kuweza kuacha?
 
Ni kweli imesaidia ila..kwa namna hali ya kiuchumi ilivyo kutokana na hili janga..watu ndio watazidi kubeti trust me!
 
Nawasubiri wazee wa kuweka mzigo ili nipate kufuatilia Michango yao kwa umakini
 
Haya wanaoacha na waache...na sisi ma master wa izi kazi..mzigo iendeleee...betting in a bussiness way,,not in gambling point of view...
 

Attachments

  • Screenshot_20200506-120346.png
    Screenshot_20200506-120346.png
    70.8 KB · Views: 6
  • Screenshot_20200506-120224.png
    Screenshot_20200506-120224.png
    58.8 KB · Views: 7
  • Screenshot_20200506-120212.png
    Screenshot_20200506-120212.png
    50.8 KB · Views: 6
  • Screenshot_20200506-120203.png
    Screenshot_20200506-120203.png
    58.7 KB · Views: 4
  • Screenshot_20200506-120425.png
    Screenshot_20200506-120425.png
    40.6 KB · Views: 5
  • Screenshot_20200506-120417.png
    Screenshot_20200506-120417.png
    43.1 KB · Views: 5
anayejua namna ya kuweka pesa kwa tigopesa kwenye 1x bet bila kwenda popote kupata no ya utambulisho anielekeze. kubet ni kazi achen masihara.

Siwezi kuacha,, kwanza natamani ligi zianze hata kesho,,
 
Back
Top Bottom