Je, utafanyaje kama umemtongoza mke wa rafiki Yako na amekukataa?

Wakulungwa..... habari Gani

Huku kimeumana Kuna jamaa yangu ameyatimba Baada ya kumtongoza shemeji ake ( mke wa rafiki yake) na huyo mke wa rafiki yake ametolea uvivu Kwa kumtukana

Jamaa angu amechanganyikiwa hajui la kufanya kama habari zitafika Kwa mwenye Mali ..

Je mshkaji atumie njia Gani ku escape hili Soo..... only legend have to answer this.....
Najua vijana wa hovyo mtasema ni Mimi???

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Muombe sana mungu katika sala zako akuondolee hiyo roho ya shetani mkuu.
 
Sifa ya mwanaume ni tamaa mkuu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app

Usituweke wanaume wote kwenye hilo kundi. Kutamani hata visivyotamanika.
download (2).jpeg
 
Uwo ndo usela mavi kuwa na washikaji wajinga iv unaanzaje mtu kumtongoza shemeji yako ni kosa kubwa sana uwo siyo ushikaji kabisa mindo maana ushikaji uishie vijiweni au jiani siyo ushikaji et nakukuta unauleta hadi kwangu eti kujifanya kuniulizia au kuleta ujamaa hadi home aise navunja mtu shingo ushikaji nnje ya home Sawa usilete home mazoea kama hayo yakuja home kujifanya kama mwema ndo matokeo kama hayo yakutongoza mashemeji aise ni ujinga
[emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Wakulungwa..... habari Gani

Huku kimeumana Kuna jamaa yangu ameyatimba Baada ya kumtongoza shemeji ake ( mke wa rafiki yake) na huyo mke wa rafiki yake ametolea uvivu Kwa kumtukana

Jamaa angu amechanganyikiwa hajui la kufanya kama habari zitafika Kwa mwenye Mali ..

Je mshkaji atumie njia Gani ku escape hili Soo..... only legend have to answer this.....
Najua vijana wa hovyo mtasema ni Mimi???

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mwambie anunue tu kamba ya manila, halafu ajinyonge afe. Maana amefanya kitendo cha kipumbavu sana.
 
Back
Top Bottom