Irene Magoboka
New Member
- Feb 8, 2024
- 2
- 1
Muombe sana mungu katika sala zako akuondolee hiyo roho ya shetani mkuu.Wakulungwa..... habari Gani
Huku kimeumana Kuna jamaa yangu ameyatimba Baada ya kumtongoza shemeji ake ( mke wa rafiki yake) na huyo mke wa rafiki yake ametolea uvivu Kwa kumtukana
Jamaa angu amechanganyikiwa hajui la kufanya kama habari zitafika Kwa mwenye Mali ..
Je mshkaji atumie njia Gani ku escape hili Soo..... only legend have to answer this.....
Najua vijana wa hovyo mtasema ni Mimi???
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Tamaa zisizo na mipaka ni ushenzi. Mtu anayetongoza mwanamke wako, hashindwi kukuua.
Hahahaha..ikija wee fumuaaaa tuHahaha kuna mambo yanafurahisha sana... Ajali kazini...
Nimetulia sweetheart...Hahahaha..ikija wee fumuaaaa tu
Ni wewe, ile timu yako ikishashinda furaha inakuvuruga. Na si imeshinda 3 jana. Itakuwa ulivurugika. Usijali utakaa sawa tu.
Ni ngumu kuassumeBAsi tu assume ni wewe ila si wewe
Kwa sisi wanaume kuomba msamaha ni kipengeleUnatubu, unamuomba shemeji msamaha na unaacha ujinga na tamaa za hovyo.
Bibie atanyamaza tu.
[emoji23][emoji23]Uwo ndo usela mavi kuwa na washikaji wajinga iv unaanzaje mtu kumtongoza shemeji yako ni kosa kubwa sana uwo siyo ushikaji kabisa mindo maana ushikaji uishie vijiweni au jiani siyo ushikaji et nakukuta unauleta hadi kwangu eti kujifanya kuniulizia au kuleta ujamaa hadi home aise navunja mtu shingo ushikaji nnje ya home Sawa usilete home mazoea kama hayo yakuja home kujifanya kama mwema ndo matokeo kama hayo yakutongoza mashemeji aise ni ujinga
Ni kesi na kosa kubwa sana...
Hapana Mkuu sinaga hizo tabiaMkuu ni wewe acha janjajanja
Timu gan boss...mi hapa bongo sinaga timuNi wewe, ile timu yako ikishashinda furaha inakuvuruga. Na si imeshinda 3 jana. Itakuwa ulivurugika. Usijali utakaa sawa tu.
Daaah huyu kazingua[emoji32]Usituweke wanaume wote kwenye hilo kundi. Kutamani hata visivyotamanika.
View attachment 2907977
Aamin!! AaminNimetulia sweetheart...
Mwambie anunue tu kamba ya manila, halafu ajinyonge afe. Maana amefanya kitendo cha kipumbavu sana.Wakulungwa..... habari Gani
Huku kimeumana Kuna jamaa yangu ameyatimba Baada ya kumtongoza shemeji ake ( mke wa rafiki yake) na huyo mke wa rafiki yake ametolea uvivu Kwa kumtukana
Jamaa angu amechanganyikiwa hajui la kufanya kama habari zitafika Kwa mwenye Mali ..
Je mshkaji atumie njia Gani ku escape hili Soo..... only legend have to answer this.....
Najua vijana wa hovyo mtasema ni Mimi???
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hapana haiwezi kunitokea kamwe, mimi nina akili timamu, najua lipi jema lipi baya na pia mimi sio nyege mkononi.