Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
- #21
Katika mazungumzo yake na utekelezaji wa kile anachokizungumza hasa katika matazamio ya muda mrefu ya kuwa pamoja.Mfano anaweza akasema,watoto nitakaozaa na wewe nataka wapate elimu hii au wamiliki hivi n.k huku akionyesha hatua za kuanzia na kutekeleza.nitajuaje boyfriend niliye nae hanipendi... 😳 😳 😳 🙄🙄🙄