Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
-
- #21
Katika mazungumzo yake na utekelezaji wa kile anachokizungumza hasa katika matazamio ya muda mrefu ya kuwa pamoja.Mfano anaweza akasema,watoto nitakaozaa na wewe nataka wapate elimu hii au wamiliki hivi n.k huku akionyesha hatua za kuanzia na kutekeleza.nitajuaje boyfriend niliye nae hanipendi... π³ π³ π³ πππ
Kweli mkuu,ukiamua kuharibu ni wewe mwenyewe
Atakuomba ela πππnitajuaje boyfriend niliye nae hanipendi... π³ π³ π³ πππ
ha ha ha binadamu wana vihoja mkuu
Kupendwa hakupo universal ila Ukiona mtu kwenye plan zake za muda mrefu hauambiwi na hata akisema ni kama haupo JIONGEZE Miss Becky [emoji4][emoji4]nitajuaje boyfriend niliye nae hanipendi... π³ π³ π³ πππ
Mwambie akuoe mwezi ujaonitajuaje boyfriend niliye nae hanipendi... π³ π³ π³ πππ
Drake anasema
Kama kila mkilalana hakufikishi kileleninitajuaje boyfriend niliye nae hanipendi... π³ π³ π³ πππ