Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani we hapo kama uwezo unao wa kuwatimizia mahitaji yao ya msing,uadilifu upo kwa wote,We waoe tu,Mke mmoja ni umaskini,Mungu akikuletea wanawake maana yake atakupa na namna ya kuwa handle, ndio maana akasema mwanamke ishi nae kwa akili, na namna moja ya kum-handle mwanamke lazima mfanane tabia, kinyume na hapo ni kujiumiza tu kisaikolojia.
Kinyume na hapo naamini hata pendezo la Mungu kwa mwanaume ni kuwa na mke mmoja, ndio maana biblia inasema mwanamke ataachana na babaye na mamaye nae ataambatana na mumewe nao watakuwa mwili mmoja.
Haijasema wanawake wataachana na baba zao na mama zao nao wataambatana na mume wao nao watakuwa mwili mmoja, hili linathibitisha kumiliki wake wengi kunahitaji maarifa zaidi na lazima yatoke kwa Mungu, refer mfalme Suleiman.
Sasa wewe leo toka nenda bar chukua barmaid, then pitia Kwa macheni chukua mtoto, rudi kwa jirani yako chukua binti yake muimba kwaya, wachanganye wote hao halafu uone kama hiyo nyumba yako itakalika.
Umetisha mkuu!Kama somo la kujua kuwa huyo ndo mke wako ni refu na gumu kumeza namna hii Basi kumjua mkeo ni ngumu Sana zaidi ya Hilo somo la kumjua mkeo.
Nitarudi baadae nalog off.
Daudi akiwa mtoto wa miaka 14 aliua dubu, simba na Mfilisti Goliathi kwa ujasiri,Jibu ni moja, Daudi na genge lake alikuwa mdhaifu, mlemavu hasa wa kihisia,
Yeye alishindwa kuzuia tamaa yake ya ngono, Daudi na wenzake wote bila kujali nafasi zao walikuwa na ulemavu wa kihisia.
Unajua maana ya neno "Parade" na lengo lake haswa ni nini ???Pia sijasema kuwa Adamu alichaguliwa Mke, ila kwa muktadha kila mtu anaweza kusema hivyo kwa sababu hakuletewa wanawake wengi achague,
Kama ilivyo Mama ni mmoja Baba ni mmoja, Mungu ni mmoja, basi kaa utambue hata mke uliyeumbiwa naye ni Mmoja. Hiyo ukubali ukatae.
Tofauti ni kwamba kasema udhaifu wa kihisia akimaanisha hisia na sio nguvu, hivyo mfano wako ni batili.Daudi akiwa mtoto wa miaka 14 aliua dubu, simba na Mfilisti Goliathi kwa ujasiri,
Utasemaje alikuwa ni mlemavu wa kihisia wakati taifa zima lilikuwa linamkimbia Goliathi kwa hofu ??
Wewe mwenzangu unajitutumua tu mtandaoni lakini ukute tu hata kibaka wa mtaani kwenu anakutoa balu.
Unajua maana ya neno "Parade" na lengo lake haswa ni nini ???
Nguvu za nje na matendo yote ya mwanadamu ni matokeo ya msukumo wa ndani wa kihisia.Tofauti ni kwamba kasema udhaifu wa kihisia akimaanisha hisia na sio nguvu, hivyo mfano wako ni batili.
Sasa kwanini Mungu alimpa Yakobo wake wawili na masuria wawili ???Mungu akikuletea wanawake maana yake atakupa na namna ya kuwa handle, ndio maana akasema mwanamke ishi nae kwa akili, na namna moja ya kum-handle mwanamke lazima mfanane tabia, kinyume na hapo ni kujiumiza tu kisaikolojia.
Kinyume na hapo naamini hata pendezo la Mungu kwa mwanaume ni kuwa na mke mmoja, ndio maana biblia inasema mwanamke ataachana na babaye na mamaye nae ataambatana na mumewe nao watakuwa mwili mmoja.
Yakobo alipata wake zake wawili baada ya kumtumikia mjomba wake Laban miaka 14.Sasa kwanini Mungu alimpa Yakobo wake wawili na masuria wawili ???
Hizi mada ni ngumu mnooDuniani hakuna kitu kiitwacho "Soul Mate" , wanadamu huchagua wenyewe.
Pili, hata huo mfano wa Adam kuletewa Hawa nadhani nao hujauangalia vizuri.
Biblia ya Kihebrania inasema Mungu alimuumba Hawa akampitisha mbele ya Adamu,
Katika lugha ya Kiingereza neno hilo linatafsiriwa hivi "Paraded her", haijasema kwamba Adamu alichaguliwa mke.
Adamu mwenyewe baada ya kuona Hawa ni bonge la toto akajiongeza na kuanza kusema wewe ni mfupa wangu.
Kwenye kitabu cha Samweli, baada ya Daudi kumuua Uria aliambiwa na Mungu kwamba, nilikupa mali, ufalme hadi wake za Bwana wako Sauli, na ungetaka na wengine ningekuongezea. Sasa wewe mzee wa fasihi unapotuambia kwamba kuoa mke zaidi ya mmoja ni udhaifu unamaanisha nini ???
Facts tupu