Igwe Kingdom
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 317
- 590
Uzi umejaa madini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wote uliowataja, siyo mitume kwa mujibu wa maandiko matakatifu yaani "Biblia".kwani mtume mkuu kuliko mitume wote,kuliko hata Suleman,Daudi na Yesu.Si mwingine ni mtume muhammad anaongeleaje hili swala?
Somo zuri, lakini mtu asipo jua kujiconnect na Mungu hawezi Vuka hapo.
Tumeumbwa kutamani Kwa nje, hadi Mungu aingilie mawazo yetu ndio tunakaa sawa wakati mwingine.
Kwa wengine hadi wapitie darasa la majaribu hayo ndio watakuja kusema umeongea ukweli.
Cha kuomba Mungu afungue macho tuone, sabb Kuna wengine walihis kabisa hapa na mahali sahihi wakaishia kuumia , na Sio kuwa hawakupata red flag hapana, lakin Mapenzi yaliwazidi wakashindwa kujitoa, nafsi ilizidiwa nguvu na moyo.
Nimependa uliposema mtu anakuwa na imagination, hii ndio Ina ua wengi.
Lakin Mungu asipo ingilia kati, wengi tuna ana angukia ktk imagination hiyo,
Lakin ukikaa Kwa uaminifu Kwa Mungu , hawez ruhusu ukaingia Mahal sipo.
Patana na Mungu kwanza Kwa kumwambia, jifunge kwake na sadaka ili asirihuhusu uingie ndoa sio salama.
Ila wanawake kumpata mwanaume wa ndoto zao inawezekanaAsante kwa somo ZURI.
Yote ya yote.
Wanaume tumekuwa na Imagination za Mwanamke wa kumuoa (wife material).
Haijawahi kutokea na haitakuja kutokea kumpata mwanamke wa ndoto zako.
NIMEKUELEWA SANA.
Joka Jeusi aliwahi kusisitiza sana watu waoe mabikra.Unasemaje hapo mkuuSiku ukiwa na uhitaji na mke utampata,
sio tamaa ya papuchi lakini😉😉😉
Hapa kuna kundi kubwa sana linapata shida hiiUkiona Mwanamke uliyenaye anataka wewe ndiye umsaidie badala ya yeye akusaidie, Jua huyo sio mkeo.
Ukiona upo na mwanamke ambaye pesa yake ni yake, na yako ni yenu, basi jua yakuwa huyo sio Mke wako, kama unaweza fukuza, kama hujiamini mu
Joka Jeusi aliwahi kusisitiza sana watu waoe mabikra.Unasemaje hapo mkuu
Hapa kuna kundi kubwa sana linapata shida hii
hili andiko nilikuwaga nalisoma kimchongo leo nime concentrate nimepata madini sana..
SawaKama utapata Bikra ni vizuri zaidi, 50% yupo sahihi
Pipa na mfuniko wake.