Je, Utajuaje kuwa huyo ndiye mkeo? Mjue mkeo

Kwa ambao bado hawajaoa na wanaopitia changamoto katika ndoa ni SoMo zuri sana
 
Abraham alimletea mtoto wake Isaka mke, Naomi alimpeleka Ruth kwa Boazi ili amuoe, hata baadhi ya wazazi wetu walipendekezewa na wazazi wao wake wa kuwaoa UA familia za kuoa na ndoa zao zilidumu.
 
Yaani we hapo kama uwezo unao wa kuwatimizia mahitaji yao ya msing,uadilifu upo kwa wote,We waoe tu,Mke mmoja ni umaskini,
 
Uko vizuri mkuu

"Hakuna mwanaume timamu awezaye kuoa wake zaidi ya mmoja. Ni wanaume dhaifu peke yao ndio huweza kuoa wake wawili au zaidi. Ninaposema dhaifu namaanisha wanaume wenye kasoro au madhaifu ya kihisia, kimwili na kiakili ndio huweza kuoa wake wawili"



Kila la heri!
 
Jibu ni moja, Daudi na genge lake alikuwa mdhaifu, mlemavu hasa wa kihisia,

Yeye alishindwa kuzuia tamaa yake ya ngono, Daudi na wenzake wote bila kujali nafasi zao walikuwa na ulemavu wa kihisia.
Daudi akiwa mtoto wa miaka 14 aliua dubu, simba na Mfilisti Goliathi kwa ujasiri,
Utasemaje alikuwa ni mlemavu wa kihisia wakati taifa zima lilikuwa linamkimbia Goliathi kwa hofu ??
Wewe mwenzangu unajitutumua tu mtandaoni lakini ukute tu hata kibaka wa mtaani kwenu anakutoa balu.

Unajua maana ya neno "Parade" na lengo lake haswa ni nini ???
 
Tofauti ni kwamba kasema udhaifu wa kihisia akimaanisha hisia na sio nguvu, hivyo mfano wako ni batili.
 
Sasa kwanini Mungu alimpa Yakobo wake wawili na masuria wawili ???
 
Well said & noted [emoji106][emoji109][emoji110][emoji115][emoji3578]
 
Sasa kwanini Mungu alimpa Yakobo wake wawili na masuria wawili ???
Yakobo alipata wake zake wawili baada ya kumtumikia mjomba wake Laban miaka 14.

Na hao masuria wawili walikuwa vijakazi wa hao wake zake wawili (yaani walimpa Yakobo azae nao)

Kwanini useme (andika) Mungu ndie aliyempa Yakobo wake na masuria?
 
Asante kwa somo ZURI.

Yote ya yote.
Wanaume tumekuwa na Imagination za Mwanamke wa kumuoa (wife material).

Haijawahi kutokea na haitakuja kutokea kumpata mwanamke wa ndoto zako.

NIMEKUELEWA SANA.
 
Umeandika vizuri sana lakini shida inakuja kwenye uhalisia na jinsi ya kutekeleza hiki ulichokiandika.
Mwanamke mwingine anaweza akakuigizia mpaka ukaenda kulipa shukrani kanisani.. Ila ukishamuweka ndani (ukifunga nae ndoa) ndio hapo unakuja kughutuka kua umeoa Van damme
 
kwani mtume mkuu kuliko mitume wote,kuliko hata Suleman,Daudi na Yesu.Si mwingine ni mtume muhammad anaongeleaje hili swala?
 
Hizi mada ni ngumu mnoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ