Nimeishi Dar, Morogoro na Iringa, Dar kulikuwa na shida ya maji, ila Moro na Iringa ahida ya maji iliisha tangu Kikwete era, so nothing special hapo ni muendelezo, asionekane kama mkombozi wakati alikuwa na roho mabaya sana, katili mno!
-Nmejibu nilichoulizwa na ndugu mleta mada.
-Sikualika mabishano.
-Hii comment yako ungetafuta tu mada inayouliza mabaya ya Marehemu na Chuki binafsi.
 
Namkumbuka Magufuli kwa haya yafuayayo.

-- Kuondoa service charges za TANESCO wakati wa kununuwa Umeme LUKU.

-- Kurasimisha viwanja kwa kupimwa ardhi kwa 150,000/tu.badala ya gharama kubwa kama ilivyokuwa zamani.

-- Kuleta control numbers ktk malipo ya serikalini kwenye huduma mbali mbali na kupunguza wizi serikalini.

-- Kurudisha heshima kwenye taasisi za serikalini.

-- Kuleta maendeleo inchi nzima kwa kasi ya ajabu kabisa..

-- kukataa kuwapigia magoti mabeberu.

--wezi na mafisadi kukimbia inchi kwa kisingizio cha kunyimwa haki na kukandamizwa.
 
1.Chato International Airport
2.Chato National Park
3.Trafic light Chato
4.3 star hotel Chato (TANAPA)
5.Bohari ya kanda madawa Chato
6.Hospital ya rufaa Chato
7.Stadium (proposa)
8.CRDB Chato
Umeongeza chumvi aisee.
 
Walio wengi wanalia wakati hata chai hawajanywa.

Enzi za Mzee Jaakaya ukiamka tu Vitumbua viko mezani

Mimi nitawalilia sana Mzee Mwinyi na Jaakaya kama nilivyomlilia Mkapa nitahakikisha nahudhuria mazishi yao

Iwapo Mwenyezi ataniachia pumzi hii

Kiongozi unatakiwa upendwe na sio uogopwe.
 
Katoa msamaha kwa Wafungwa wa Ethopia na Kenya, kasahau kuwasamehe Watanzania wenzetu (MASHEKHE) wa UAMSHO...
 
Kwa kuijenga chato yetu
 
Mheshimiwa Magufuli aliipenda sana Nchi yetu, tutamkumbuka sana:-
 
Ukipata nafasi ya kusafiri,kuzunguka mikoa tofauti tofauti ndio utagundua kuwa taifa limepoteza mtu muhimu sana,maana ni mpaka kule ulikokuwa hutarajii kuona maendeleo kuko vizuri...
Maendeleo kama yapi?
 
Shehe wa mkoa wa Mwanza amesema waislamu watamuenzi hayati Magufuli kwa sababu ndiye aliyewezesha Bakwata kuwa na msikiti mkubwa kuliko yote Afrika ya mashariki.

Shehe wa mkoa amewataka waislamu kujitokeza kwa wingi tarehe 24/03/2021 kutoa heshima za mwisho kwa hayati Magufuli.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
 
Watu bwana kwaio mnataka sema maendeleo amefanya chato tu
Chato ni Tanzania pia
 
1.Chato International Airport
2.Chato National Park
3.Trafic light Chato
4.3 star hotel Chato (TANAPA)
5.Bohari ya kanda madawa Chato
6.Hospital ya rufaa Chato
7.Stadium (proposa)
8.CRDB Chato
Punda kupita traffic light,kuangalia kijani anapita,red anastop
 
Elimu bure. Imetufanya watoto wa maskini tuwe hapa tunajibizana na watunga sera kama sio yeye tungekuwa mbugani tunachunga ng'ombe.
 
Mimi nitamkumbuka kwa vitu vingi alivuopiga kazi za maendeleo lakini hili lakuchoma nyavu zangu halali nakushikilia engene zangu zimeniathiri nashindwa kumudu familia lakini alinifuraisha kutomteua tena mpina kwahili nashukuru sana
 
Kutaka kumuua Tundu Lissu

Kukwiba hela za Mfuko wa Korosho Mikoa ya kusini

Ben Saanane

Akwilina

Alphonce Mawazo

LIST ni ndefu sana...huyu ndugu aende tu akapambane na adhabu zake huko kaburini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…