Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
afadhali hilo shetani limekufa lilikuwa linatuharibia nchi yetu.alijenga chuki kubwa sana miongoni mwa watanzania
Hapana, ni raia alieitumikia nchi hii kwa muda mrefu tena kwa kujituma sana. Alikuwa waziri bora wa wakati wote, bajeti yake ya wizara haikuwa na kashfa, ilikuwa inapita tu
 
Hata mtaani jambazi au kibaka akiuwawa, bado watu wataenda msibani na kuzika kwa umoja, huo ndio utamaduni wetu.
 
Msione wamama wanadondoka pale Uhuru kwa kilio na kuzimia mkazani wanaigiza sio maigizo yale wale wengi ndio wafanya biashara ndogo ndogo kama Mama Ntilie ambao kipindi cha JK mliona wakimwagiwa michuzi yao kwa mateke barabarani na wagambo wa jiji wengine walikuwa wamachinga kipindi kile waliteswa aisee.

Lakini Magu alivyoingia akawabeba, wengi wanalia sababu hawajui sasa hatma yao ni nini hawaelewi raisi aliyepo sasa atakuwa na msimamo gani either ataendelea kuwabeba or ndio mambo yale yale ya safisha jiji.

Utawala wa Magufuli hautosahaulika na wafanya biashara ndogo ndogo, wapo walioumia na walioneemeka ni hawa waacheni walie tu.

R.I.P JPM.
 
Nilikua napenda sana hotuba zake ambazo zilikua hazirembwi na maneno mengi ya wanasiasa bali hotuba zake zili address jambo moja kwa moja.

Ni Mara nyingi sana ungemsikia akisema nilikua nachomeke tu lakin ana hit on the point.
Alikua anatoa hotuba zenye hisia kwa watu jambo ambalo binafsi nilikua nalifurahia sana.

Pia uwezo wake Wa kuwahoji wasaidizi wake mbele ya kadamnasi ulikua unanikosha pia.

Sikutarijia kama Magufuli angeweza kututoka mapema kiasi hiki ...Nimeumia sana!![emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]

Raha ya milele umuangazie ee Bwana!
Pumziko la amani umjalie ee Bwana[emoji22]

Pumzika kwa Amani JPM[emoji53][emoji53][emoji53][emoji22][emoji22]
 
kwanza niamze na salam za pole kwa watanzania kwa kumpoteza amir jesh mkuu .
mh huyu ambaye ametutoa kwenye utegemez na kuwa matajiri.

mzee alikaza sana katika vitengo vyote nyeti ripot kila siku.Madini, bandari,tra,na sehem zote zenye mapato huko ni upadates za kila siku.

nashauri sana huku pakaziwe zaidi vijana wa kitengo wamwagwe huko yaaan wawe wengiii waongezwee.

mapato.mapato ndio uwe wimbo wa awam ya sita.

sasa chama chetu kina nguvu kinapendwa na wananchi.

Sisi ni matajiri
 
Hayati Dr John Pombe Joseph Magufuli kuna mengi ya kukumbuka uliyoyafanya na kuyatekeleza wakati wa uhai wako hapa duniani lkn mimi nitakumbuka haya yafuatayo kwa uchache.
1.Uchapa kazi wako tangu ukiwa waziri hadi ukiwa Rais na hadi unatutoka.
2.Usimamizi wa Rasilimali za nchi yetu.
3.Ujenzi wa Miundo mbinu kama vile barabara,Reli,madarasa,hospital na umeme,
4.Kuthibiti ujambazi wa kutumia siraha
5.Kurejesha nidhamu kazini kwa watumishi wa Umma
6 Kutokomeza kabisa mauwaji ya albino
7.Kutetea wananchi wa kipato cha chini ktk utawala wako.
Yapo mengi ya kukumbuka ila mimi nimechagua haya saba tu ili waje wengine nao watukumbushe mengine.
Ayubu14:1. Siku za mwanadamu ni chache mno Nazo zimejaa taabu.
 
Ngoja Kwanza tuzike alaf tujadiliane vizur ni nini kimemuua Raisi? Ni COVID , Heart Attack au alivyoiacha DSM karbia miez minne akakuta maadui wake wamejipanga .....🚶🚶🚶 Msiojulikana tusitaftane tafadhali nitawasha VPN
 
Mimi pia nitamkumbuka kwa mengi....msimamo wake kupinga mashoga wazi wazi jambo ambalo wapo wanaoona aibu kuwapinga hawa watu kisa tutanyimwa misaada na MABEBERU
 
Ngoja Kwanza tuzike alaf tujadiliane vizur ni nini kimemuua Raisi? Ni COVID , Heart Attack au alivyoiacha DSM karbia miez minne akakuta maadui wake wamejipanga .....[emoji124][emoji124][emoji124] Msiojulikana tusitaftane tafadhali nitawasha VPN
Ha ha ha
 
Huu ndo upendo wa dhati, huyu ataenda kuzika tutakuwa nae chato ijumaa.
 
Back
Top Bottom