Acha upuuz kuwaita binadamu wenzako carcass ingekuwa Ni Bab ako huuyo carcass
Nimekuchukia san
 
Ninbora magufuli angetawala maisha kuliko huu utopolo wa sasa HV tulionao na Wal Hakuna mpinnzan wa maana wa kupewa nnchi hi Ni Mara Mia magu angebaki kulikoni huu urojo uliopo Sasa hv
Nenda kachimbe kaburi lako pembeni na Magufuli huko Chato ili aendelee kukutawala wewe na familia yako
 
Nenda kachimbe kaburi lako pembeni na Magufuli huko Chato ili aendelee kukutawala wewe na familia yako
Nani unamuambia hvyo mjinga kweli wew unaweza mfananisha magufuli na utopolo gani sas hv
 
Kiongozi ndo anabeba responsibility zote , ipo hivo duniani kote ,
Mwinyi alijiuzuru uwaziri wa ulinzi baada ya wafungwa wawili kutoroka gerezani , kwa mantiki yako ni kwa kuwa waziri hakuwa kotokoroni basi asingewajibika !

Madaraja mabovu na barabara za chini ya kiwango waziri wa ujenzi anahusika moja kwa moja .
 
Sio kwamba ni fisadi, huyo ni kijana Muhuni Mmoja mjanja mjanja alizoea Maisha ya ujanjaujanja sana, Sasa Kwa Uongozi wa JPM ,watu wenye matope vichwan ,midomo mirefu, walikua hawatoboi !!

JPM aliwapa shida sana sana !!.
Jiwe alikuwa anataka kufanya kazi na watu wenye ueledi mdogo sana kama Bashite na Saambaya
 
Hii inchi ina tatzo kubwa sana la Elimu.
Kuna watu uelewa wao ni mdogo sana na hawa ndio wanaojifanya much know kumbe kichwani weupe tu.
Kuna yule Jiwe alimuua mtu baada ya hugo mtu kufatilia Elimu yake
 
Lile lilikuwa zimwi.
Mungu ametuokoa nalo
 
Tanzania tunakuwaga na utamaduni kuwa Mtu akifa Basi mabaya yake hatuyasemi lakini hii imekuwa tofauti kwa Mwendazake I think huyu Jamaa kaacha vidonda kwa watu wengi Sana.

I can't imagine how Mtu atukanwe kiasi hiki


Familiya ya Magufuli wakae chini wamuombee msamaa Baba yao ili maana watz wamechafukwa including with high number of politicians .


Kila Mtu atoe logic why this Shit happens???
 
Magufuli alikula habembelezi hakuwa na simile kwa wanafiki aliwanyoosha kama pasi na walinyooka hakulea wanafiki hakula nao meza moja aliwafyekelea mbali hawakuthubutu hata kumsogelea Samia alizani hii nchi ni nyepesi alikosea Sana ni lazima awe katili Sana kwa wanafiki wachache kuwalinda wema wengi
 
Magufuli alikuwa kiongozi mwenye kuona mbali sana alijitenga Sana na waovu mashetani na wanafiki hawakumuelewa hasara za kuambatana na wanafiki kama akina Mbowe zimeanza kuonekana Sasa
 
Kiswahili chako kigumu sana sijui ni mtu wa wapi wewe....ila umeongea points kabisaa wala hujakosea...
 
Makaa ya Mawe na Uji wa volcano Mungu na Makatli mbali mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…