Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Alimuua mama yako,?Ukiua raia wako basi hata ufanye nini wew utabaki kukumbukwa kama muovu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alimuua mama yako,?Ukiua raia wako basi hata ufanye nini wew utabaki kukumbukwa kama muovu
Acha kujizima data. Kwani mtu akiwa muuaji lazima awe ameua ndugu yako?Alimuua mama yako,?
Kwa namba 2 uongo mtu, 80%vijiji watu wako gizani1)Kumaliza tatizo la kuchelewa magali kutoka bandarini sasa hivi bandari kavu za mafisadi wanalala panya na paka
2) Kuhakikisha Umeme wa rea unawaka katika vijiji vyote Tanzania
3) Kudhibiti ujambaazi
4) Malipo ya serikali kufanyika kwa control namba
5) Elimu bure kuanzia chekechea hadi kidato cha sita
6) Reli ya mwendo kasi
7) Bwawa la Umeme
8) Mwendokasi kutoka mbagala hadi kariakoo na kutoka JKT hadi magomeni
9) Ndege za kisasa Dream liner, Airbus na Bombadia
10) Mirahaba ya madini kutoka.Barick na Arcacia
11) Muhimbiri mashine za Citiscan na MRI hazijaharibika mika yote 5 uliyokaa madarakani
12) kuwatoa hofu watanzania kuhusu ugonjwa wa COVID tukawa tunadunda tu mitaa ya Msimbazi na Kongo na visantaiza vyetu mfukoni
13) Kuvunja mkataba wa IPTL
14) Kuwatumbua watumishi wasiokuwa waadalifu
15) Kuwashughulikia mafisadi wengine walikimbilia nje ya nchi na wengine kuwekwa mahabusu kama yule singasinga wa IPTL
Na mengine mengi tu ambayo sijayaandika R.I.P jembe
Kazikwe nae dada !
Kama hakufanya kitu kwa nini mgao haukuwepo?Kwa kipi alicho kifanya? mbona nyie watu wa kanda ya ziwa mnaabudu propaganda za huyu MTU.
Wewe kinakuuma nini? Si uwaache na propaganda zao.Kwa kipi alicho kifanya? mbona nyie watu wa kanda ya ziwa mnaabudu propaganda za huyu MTU.
Wanaomchukia baba Magufuli ni wafuasi wa Huyo Shetani uliye mtaja. Mara nyingi Mtu mzuri ni aduwi wa watu wabaya na watu wabaya na Waovu ni marafiki wa Masheytwani.Atakumbukwa na shetani tu maana alikuwa mfuasi wake wa ukweli
haya kukufilimba tu ni jambo kubwa.Kwa kipi alicho kifanya? mbona nyie watu wa kanda ya ziwa mnaabudu propaganda za huyu MTU.
huna afadhali yoyote amka ukatafute hela.Wewe nenda kazikwe nae...wengine tumepata afadhali ya maisha baada ya kifo cha magufuri
Ulikuwa mhanga wa yepi kati ya haya...Wewe nenda kazikwe nae...wengine tumepata afadhali ya maisha baada ya kifo cha magufuri
Jobless na leo nimepangiwa kituo kwenye harmashauri flani..Ulikuwa mhanga wa yepi kati ya haya.....