Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Mimi nakushauri ungeanza kwanza kutembelea makaburi ya wazazi wako, unaweza fanya ibada ya wafu hapo ukaopoa baraka na neema. Achana na wazazi wa watu.
 
Pamoja na kuchukiwa na watu fulani kwa faida zao lakini huyu bwana alikuwa rais bora Tanzania na rais pendwa africa nzima

Na mwisho kabisa
Natamani saana hili kundi la sukuma gang liwepo kweli na kiwe chama cha siasa na moto uwe ule ule wa jpm kuna watu watakimbilia Kenya hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutazidi kukumbuka kila siku daima kiongozi wetu mpendwa Mtumbuwa Majipu Rais Dr.Magufuli..



 
Tutazidi kukumbuka kila siku daima kiongozi wetu mpendwa Mtumbuwa Majipu Rais Dr.Magufuli..


 
Tutazidi kukumbuka kila siku daima kiongozi wetu mpendwa Mtumbuwa Majipu Rais Dr.Magufuli..



 
Tutazidi kukumbuka kila siku daima kiongozi wetu mpendwa Mtumbuwa Majipu Rais Dr.Magufuli..





 
Tutazidi kukumbuka kila siku daima kiongozi wetu mpendwa Mtumbuwa Majipu Rais Dr.Magufuli..


 
Tutazidi kukumbuka kila siku daima kiongozi wetu mpendwa Mtumbuwa Majipu Rais Dr.Magufuli..


 
Siku mpigia kura 2015 na NDIO ilikua mara yangu ya mwisho kujihusisha na chaguzi....

Siku kubaliana nae kwenye baadhi ya mambo for sure....

Mm ni aina ya watu kama JPM ila nipo moderate...kiukweli JPM aliyaishi maono yangu....hata nisipo kuja kua kiongozi at least Kuna Jemedari aliye ishi vitu nilivyo viamini na ku thubutu kutikisa mibuyu iliyo shindikana.....

Kuna kipindi nilikua nafuatilia vibali flan so nikawa nazungushwa sanaa....Nikaona nijiongeze nitoe Rupia....Jamaa aka onyesha Greenlight...Sasa bwana jamaa machale yakamcheza dakika za mwishoni... wakashitukia kua mm ni kipenyo....walikataa pesa na kazi ikafanywa fasta fasta....
 
TUNAKUKUMBUKA BABA

KILA siku ulinena na nasi wanao kua tutakukumbuka Tena tutakukumbuka kwa mazuri siyo kwa mabaya Leo tumeanza kukukumbuka baba yetu mzazi.

Leo wale uliotoa uhai wako kisa wao kwa damu YAKO wamekataa hata lile jina lako la wanyonge Baba wamekataa.

Siyo kwakua haliwafai la hasha bali wamelandikizwa chuki baba wamepandikizwa.

Leo eti Yale mazuri YAKO baba yamegeuka ufisadi Baba kwanini wakuonee hivi ingali wenye akili wapo na wanatambua?

Ulitamani kuiona tanzania ya pekee Baba isiokua tegemezi Baba Leo tunarudishwa tulikotoka ten kwa gari ambayo imekatika breki. Wale wote waliokua wanataja sifa zako kumbe walikua wanafiki Baba walikua wanafiki kweli.

Baba unakumbuka yule mtani wako agwee uliemlinda na kumkingia kifua siku zote Leo ameguka mkosoaji Baba amegeuka. Wale wazalendo wachache uliotuacha bado tungali na akili na mafikirio tunashuhudia mengi BABANGU.

Najua umelala ila roho YAKO IPO na sisi babayetu fanya Jambo fanya baba
Baba Leo ile SGR uliojenga kwa gharama leo tunaambiwa eti ni hasara baba Bora ungejenga bandari ya BAGAMOYO.

Na mshauri Ni yule mtani wako uliekesha kuhakikisha anakua mkuu wa mjengoni pale Dodoma. Baba eti hata ile stendi tunayojivunia na iliyobaki Kama mwili wako kwetu wanasema inasabisha foleni baba na wanaweza hata kuivunja ili sisi tukupendao na kukujua wewe kama shujaa na mtetezi wetu ukiondoka mawazoni mwetu.

Lile shirika ulilolifufua kwa uchungu na kununua ndege mpya nyingi leo wamesema limesababisha hasara na ndege zile zinaweza kuuzwa baba kweli baba muulize mama anajua mbona.

Baba yule kitumbo uliemteua ndo amekua msaliti wako wa KWANZA baba kwani humjui Ni yule uliempa awe anahesabu mahesabu na kwa bawabu
Baba hata Bwawa la Nyerere hdropower eti tunaambiwa kua litakua halileti faida eti litatia hasara.

Jamani baba ungekuepo ungeona Baba. Sahivi kila ulichofanya kwetu kimegeuka hasara kweli Baba?

Wameshindwa hata kuficha makucha yao babangu wametuonyesha wazi wazi kua wapoje ndani yao.

Baba tumeambiwa eti leo akija mchina kujenga kiwanda ruksa kuja hata na meli nzima ya wafanyakazi asizuiwe Wala kuwekewa mipaka.

Baba kweli ulikua unatupenda wanao ila Sasa umetuacha mbele ya mbwamwitu wakali waliokua wamevaa ngozi ya kondoo wakati wa uhai wako.
Baba wanao hatukujua pale ulipotupa fumbo la maneno YAKO Kila siku uliposema "TUKUOMBEE"

Kumbe uliijua vita YAKO pumzika baba ila wazalendo wapo ambao wataandika mazuri daima bila kupepesa mkono na macho yao wakisema kua WEWE no shujaa wa kweli.

Sasa ndo tunaona baba kua hata Yale machozi yao mbele ya jeneza lako yaliku ya furaha siyo huzuni kama tulivyodhani. Baba walikupeleka mikoa mingi kumbe ilikua ili waamini Kama kweli umeondoka kikwazo chao.

Baba tumebaki na mtu mmoja pekee MAJALIWA ambae atafata nyayo zako ila Sasa wameanza kumslzushia na kumuharibia baba Kaka MAJALIWA yupo Kimya anatunga sheria na majonzi ya kuondoka kwako ila bado wanamuandama eti mara kafanya mabaya mtandaoni Baba tusamehe.

Baba ule ukuta uliojenga pale mirerani eti unabezwa na kuambiwa hauna faida baba tena ndo anasema baba tunatamani hata uamke Leo uone udhalimu huu.

KILA kilichofanywa na WEWE kimegeuka hasara baba wanakupaka matope wazi huku wapumbavu wakipiga makofi na vigeregere ila malipo yao yapo kwa mungu mwenyezi
Baba kama ungekua na simu ungempihia Kaka JOSE angekuambia kwa masikitiko sana Baba angekuambia.

Machozi yanatutoka sisi wazalendo wa taifa hili teule baba tunaumia kwanini umewaachia wakushinde.

Daaaah UMELALA UMELALA UMELALA UMELALA UMELALA UMELALA UMELALA UMELALA UMELALA UMELALA shujaa umelala jemedari wetu UMELALA shujaa WETU

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji898][emoji898][emoji898][emoji898][emoji125][emoji125][emoji125][emoji705][emoji705][emoji705]
 
Jana niliangalia U-Tube, video wazee Kinana na JK wakimpa pole hosipitali alikolazwa machozi yalinidondoka nikaenda kulala kinyooooooonge! Pumzika kwa amani baba.
 
Magufuli ameacha nini? Ameacha wizi wa Tsh 2.4 Trilion, chuki dhidi ya upinzani, ubaguzi wa maendeleo kwa kupendelea Chato, umalaya kwa akina Jokate , matusi kwenye majukwaa, kuropoka, ubishi wa Corona mpaka imemuua, uuaji wa akina Ben Saanane na Azory Gwanda, utekaji wa akina MoDewji, maonezi kwa akina Eric Kabendera na Tito Magoti na dharau kwa wanawake tu.

Atakumbukwa kwa UDIKTETA, kukandamiza Demokrasia, Wizi wa uchaguzi Serikali za Mitaa 2019, wizi wa kura uchaguzi Mkuu 2020, kuvunja Katiba, kudhibiti Bunge na kuitishia Mahakama. Vilevile kuminya uhuru wa kujieleza na kuitishia vyombo vya habari.

Nani atanikamata leo nikisema Magufuli alikuwa muuaji? Hakuna kwa vile Rais SSH anakubali kukosolewa kwa misingi ya Sheria. Ila wapumbavu kama wewe Story za nguate wanafikiria alikuwa mtu wa maana
 
Back
Top Bottom