Nenda chato Acha kutujazia server kwa mambo ya kikumbafu kabisa! Kumbafu, kumbafu, kumbafu kabisa
 
Ndicho ulichocopy kwenye hayo makamasi ya ubongo wako huna heshima!
 
Pumzika kwa amani mpendwa uliyekuwa Rais, Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu, Dk. JPM. Msaidizi wako ambaye sasa ni Mkuu wa Nchi, Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dk. Samia; anaendeleza SGR kwa viwango, alishabonyeza kitufe kujaza maji Bwawa la JNHP, Bararabara ulizoziacha ktk feasibility study zimekamilishwa na zinakamilishwa, njia sita Dar-Chalinze awamu ya kwanza safi.

Daraja JP Kigongo Busisi kazi inaendelea, flyover Uhasibu, Kurasini na Mataa ya Chang'ombe watu wanapaa angani na ardhini. Mpendwa JPM aliyerithi kiti chako alishasema umempika vya kutosha na ameiva. Tunashuhudia. Pumzika kwa amani.# Ongea facts siyo hisia na upotoshaji.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Mungu aiweke Roho ya Magufuli mahali pema peponi.
Amen.
 
Ukienda kuzikwa naye, usisahau kumpelekea majina ya aliowatanguliza, na vikombe vya damu ambavyo visingejaa bila maelekezo yake
 
JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, hakuna Mzalendo hata mmoja atakayekuja kumsahau.

Upekee wa JPM ni pale alipojua kabisa kwamba, Kiongozi yeyote wa Afrika kujaribu kutetea Rasilimali za Nchi yake ni sawa kabisa na kuvaa kitanzi shingoni mwake.

Hivyo, JPM kwa kutetea na kulinda rasilimali za Nchi hii ikikuwa ni sawa kabisa na kuvaa kitanzi shingoni mwake.

Pamoja na kujua fika kwamba nini kingemtokea, alikomaa mwanzo mpaka mwisho bila kusalimu amri.

Kwa kuthibitisha hayo, alikuwa mara nyingi akituambia " Nimetoa sadaka maisha yangu kwa ajili ya Watanzania"

Mungu aipokee roho ya JPM katika Nuru ya ufalme wake. Amina.
 
Na mwanga wa milele umwangazie
 
Alikuwa muigizaji mzuri, na hadhira yake majitu mapumbavu na mazezeta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…