Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Kwenye ufisadi yule Mwamba alikuwa hatakagi ujinga kabisa na hili hata CHADEMA wanalielewa vizuri.

Escrow hakuna aliyeambiwa arudishe hela kama kwenye EPA lakini mafisadi wa kanda ya ziwa walipanga foleni BoT kuzirejesha wakiongozwa na Ngeleja na Tibaijuka wote kutoka kanda pendwa.

Mwamba alitisha sana.

RIP JPM

Mkitaka huyo mtu wenu asisemwe muache kumpamba kwa vitu ambavyo sivyo ,kipindi chake alinunua meli bovu kwa bil 8 tena la kizamani speed ya kobe wakati Bakresa alinunua meli ya kisasa tena good condition speed ya maana kwa bil 4 tu.
 
Vp kuhusu hii ya kufanyia marekebisho kwa 7.5B kivuko cha 8B?by theway hakuna speedbot ya Bahharesa ya 4B acheni story za vijiweni ingekua rahisi hivyo hio biashara matajiri wengi wangeifanya, ingekua km biashara ya mabasi ya mikoani.
 
Mkitaka huyo mtu wenu asisemwe muache kumpamba kwa vitu ambavyo sivyo ,kipindi chake alinunua meli bovu kwa bil 8 tena la kizamani speed ya kobe wakati Bakresa alinunua meli ya kisasa tena good condition speed ya maana kwa bil 4 tu.
Inamaanisha wakati alipokuwa waziri wa ujenzi?.
Unamkumbuka nyumbanyeupe alikuwa nani kipindi hicho ama unajitoa akili.

JPM hakuwa na uwezo wa kununua hiyo meli bila idhini ya mkuuwake wa kazi.
 
Unabishana na wajinga wasio na akili. Hawa ni kama wamelishwa LIMBWATA kumtukana JPM
 
Miradi hii mitatu tu. Inatosha sana kumjengea JPM makumbusho yake.

Naamini nchi Itafanya kitu kwa ajili yake.

Ila achana na January ambae anachuki tangu kuanzishwa kwa mradi wa Bwawa la Nyerere hadi leo hawezi litaja jina na JPM. Ila miradi lazima ikamilike.
 
Miradi hii mitatu tu. Inatosha sana kumjengea JPM makumbusho yake.

Naamini nchi tafanya kitu kwa ajili yake.

Ila achana na January ambae anachuki tangu kuanzishwa kwa mradi wa Bwawa la Nyerere hadi leo hawezi litaja jina na JPM. Ila miradi lazima ikamilike.
magufuli (PhD), atabaki kuwa shujaa na mwamba milele

Yaani mtu atake, asitake.
 
kwanini kuna nyuzi nyingi sana za mapambio kuhusu jpm halikadhalika nyuzi za kumsema vibaya?
Ni siasa tu.

Kuna watu wanautamani Urais lakini hawafiki viwango vyake vya utendaji.

Kilichobaki ni kuhakikisha wanamshusha viwango ili wao waonekane bora. kitu ambacho wamesumbuka miaka miwili sasa akiwa kaoza bila mafanikio.
 
Back
Top Bottom