Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Mtanzania ukimpenda sana anakudharau, angalia watumishi wa umma wanavyomchezea samia kama bibi yao.Katuachia mazuri mengi tu ila alipungukiwa upendo Kwa watu
1,5 bosi kuna tilioni 11 zinapigwa saa hii nne zishapewa bado 7 na inasemekana hazitoshi we kaa utulie kwanza.Mjinga tu huyo aliiba Til 1.5
Kwenye ufisadi yule Mwamba alikuwa hatakagi ujinga kabisa na hili hata CHADEMA wanalielewa vizur...
Kwenye ufisadi yule Mwamba alikuwa hatakagi ujinga kabisa na hili hata CHADEMA wanalielewa vizuri.
Escrow hakuna aliyeambiwa arudishe hela kama kwenye EPA lakini mafisadi wa kanda ya ziwa walipanga foleni BoT kuzirejesha wakiongozwa na Ngeleja na Tibaijuka wote kutoka kanda pendwa.
Mwamba alitisha sana.
RIP JPM
Magufuli alikuwa Rais Bora kuliko wote barani Afrika. RIP John Pombe Magufuli.
Hapo sasa.Kiherehere kilimponza sana marehemu
Ushamba ni hupi kwa mfano?Magufuli alikuwa na ushamba wa madaraka, japo alikuwa na mazuri yake.
Vp kuhusu hii ya kufanyia marekebisho kwa 7.5B kivuko cha 8B?by theway hakuna speedbot ya Bahharesa ya 4B acheni story za vijiweni ingekua rahisi hivyo hio biashara matajiri wengi wangeifanya, ingekua km biashara ya mabasi ya mikoani.Mkitaka huyo mtu wenu asisemwe muache kumpamba kwa vitu ambavyo sivyo ,kipindi chake alinunua meli bovu kwa bil 8 tena la kizamani speed ya kobe wakati Bakresa alinunua meli ya kisasa tena good condition speed ya maana kwa bil 4 tu.
Inamaanisha wakati alipokuwa waziri wa ujenzi?.Mkitaka huyo mtu wenu asisemwe muache kumpamba kwa vitu ambavyo sivyo ,kipindi chake alinunua meli bovu kwa bil 8 tena la kizamani speed ya kobe wakati Bakresa alinunua meli ya kisasa tena good condition speed ya maana kwa bil 4 tu.
Unabishana na wajinga wasio na akili. Hawa ni kama wamelishwa LIMBWATA kumtukana JPMInamaanisha wakati alipokuwa waziri wa ujenzi?.
Unamkumbuka nyumbanyeupe alikuwa nani kipindi hicho ama unajitoa akili.
JPM hakuwa na uwezo wa kununua hiyo meli bila idhini ya mkuuwake wa kazi.
🤣🤣🤣🤣Mtanzania ukimpenda sana anakudharau, angalia watumishi wa umma wanavyomchezea samia kama bibi yao.
magufuli (PhD), atabaki kuwa shujaa na mwamba mileleMiradi hii mitatu tu. Inatosha sana kumjengea JPM makumbusho yake.
Naamini nchi tafanya kitu kwa ajili yake.
Ila achana na January ambae anachuki tangu kuanzishwa kwa mradi wa Bwawa la Nyerere hadi leo hawezi litaja jina na JPM. Ila miradi lazima ikamilike.
Ni yeye alisema tutamkumbuka, ni bora asingesemaga tu akasepa zake, sasa kila mtu akiona mradi wake analeta Nyuzi hapa,kwanini kuna nyuzi nyingi sana za mapambio kuhusu jpm halikadhalika nyuzi za kumsema vibaya?
Ni siasa tu.kwanini kuna nyuzi nyingi sana za mapambio kuhusu jpm halikadhalika nyuzi za kumsema vibaya?
Hakika. Yaani naamini angekuwepo sasa hivi umeme wa Bwawa la Nyerere ungekuwa tayari.magufuli (PhD), atabaki kuwa shujaa na mwamba milele
Yaani mtu atake, asitake.
Hatari sana.Ni yeye alisema tutamkumbuka, ni bora asingesemaga tu akasepa zake, sasa kila mtu akiona mradi wake analeta Nyuzi hapa,
Na ndiyo kumkumbuka huko
Bila shakaHakika. Yaani naamini angekuwepo sasa hivi umeme wa Bwawa la Nyerere ungekuwa tayari.