saleni
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 1,880
- 2,843
Nafasi za jeshi zimetoka,Na huyo mwingine ameajiri wangapi? Ameongeza mishahara sh ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafasi za jeshi zimetoka,Na huyo mwingine ameajiri wangapi? Ameongeza mishahara sh ngapi?
10. Ukiwa vitani halafu ndugu yako anakusaliti they don't deserve to surviveView attachment 1734652
Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.
Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti (Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.
Hakika tutammiss, kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo.
Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J. P. M (R. I. P).
1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.
2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje, kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).
3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu, S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.
4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.
5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.
6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.
7.
Itaendelea...
PIA SOMA>> TANZIA - Rais John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar
Daa yule alikuwa baba mwema ,aliamua kuzama kwenye mtoto Ili atuoko wanae na kweli alituokoa watoto milioni sitini ,yeye moja,ivi wangekuwa wakina zito na wezie waliotaka tufungiwe sijui Sasa ingekuwaje da yule ni MWAMBA NA MWALIM WA MARAIS WOTE DUNIANMnamo mwishoni mwa mwaka 2019 Kulitokea janga la Corona.
Janga hili amabalo liliigubika Dunia nzima na kufanya Kila Mmoja kwuwa kwenye njiapanda bila kujua afanye nini.
Dunia iliamua kuacha shughuli zote za kibinadamu na kujifungia ndani.
Dunia iliamua kutelekeza uchumi wake na kujitenda.
So kitambo sana na naamini wengi wetu humu tulikua na umri wa kutambika kilichokua kinatokea Duniani. Hivyo sote ni mashahidi na ushuhuda tunapaswa kusema wazi.
Hii ilikua ni Vita kuu ya Dunia, na Sisi kama Taifa hii ilikua vita inayo TUHUSU. Hii haikua vita ya Urusi na Ukraine ambayo haituhusu.
Kidume Mmoja MWENYE akili na uthubutu. Mwanaume wa kweli mzalendo wa juu zaidi.
Alisimama kinyume na mwendo wa Dunia na kuamua kutuvusha pahala ambapo Dunia ilishindwa.
Leo tunatamba kuwa na Akiba ya pesa za kigeni.
Kwa kazi nzuri ya jarsiri muongoza Taifa, Leo tunaweza hata kuwananga majirani.
Hii haimaanishi kuwa sisi yunayo maajabu zaidi ya wao.
Ila tukubaliane tu kuwa haya ni matokeo ya Ushujaaa wa shujaaa wa mashujaa.
Haya hajakuja tu kama ndoto Bali ni Ushindi wa Vita vyetu.
Magufuli alituachia uchumi imara, mfumko wa Bei aliudhibiti ingawa Kwa Sasa tumeanguka
R.I.P JPM Simba wa Vita
TanzNia hatuna ICC tuna wasaliti wachachectu walioba nayaeaka za mahakama ndege yetu ikakamata. Au mawakili waliwatetea wezi wa makaniki yetu. Hiyo ni kutetea mali yako si ICC. Wanaopelekwa ICC ni Wanyarwanda walioua Watusi milioni 3 kwa kuwachoma kanisani ay kuwatupia mtoni. Ni Apartheid South Africa waliowau watu kwenye townships. Ni Waarabu waliochukua watumwa Tanganyika na kuwauza Zanzibar. Au Iddi Amini iyeketeza wapinzani kuwalipua gerezani. Au kundi la CUF la UAMSHO lilowaua kada wa CCM na Polisi. Au bin Laden aliyelipua Ubalozi. Au Wakoloni walioua MAUMAU Kenya kwa halaiki. Maadui w a Magufuli ni wale aliowazuia kuiba makanikia au kufanya fujo wakishindwa kura.Ukatili dhidi ya uninadamu.Maiti yake itapelekwa the Hague(ICC)
Hakuna alichofanya isipokuwa kuficha takwimu. Ni ujinga mtupu kwani Kenya, Uganda, Malawi hawakuvuka?Mnamo mwishoni mwa mwaka 2019 Kulitokea janga la Corona.
Janga hili amabalo liliigubika Dunia nzima na kufanya Kila Mmoja kwuwa kwenye njiapanda bila kujua afanye nini.
Dunia iliamua kuacha shughuli zote za kibinadamu na kujifungia ndani.
Dunia iliamua kutelekeza uchumi wake na kujitenda.
So kitambo sana na naamini wengi wetu humu tulikua na umri wa kutambika kilichokua kinatokea Duniani. Hivyo sote ni mashahidi na ushuhuda tunapaswa kusema wazi.
Hii ilikua ni Vita kuu ya Dunia, na Sisi kama Taifa hii ilikua vita inayo TUHUSU. Hii haikua vita ya Urusi na Ukraine ambayo haituhusu.
Kidume Mmoja MWENYE akili na uthubutu. Mwanaume wa kweli mzalendo wa juu zaidi.
Alisimama kinyume na mwendo wa Dunia na kuamua kutuvusha pahala ambapo Dunia ilishindwa.
Leo tunatamba kuwa na Akiba ya pesa za kigeni.
Kwa kazi nzuri ya jarsiri muongoza Taifa, Leo tunaweza hata kuwananga majirani.
Hii haimaanishi kuwa sisi yunayo maajabu zaidi ya wao.
Ila tukubaliane tu kuwa haya ni matokeo ya Ushujaaa wa shujaaa wa mashujaa.
Haya hajakuja tu kama ndoto Bali ni Ushindi wa Vita vyetu.
Magufuli alituachia uchumi imara, mfumko wa Bei aliudhibiti ingawa Kwa Sasa tumeanguka
R.I.P JPM Simba wa Vita
So hata wewe ukifa ni mungu amedeal na pomposity?Kinjekitile at his best. Anyway alisharest in pieces God has mysterious ways of dealing with human pomposity.
Umesema ukweli kuwa aliwaona ni watoto, ikabidi awaokoe hata kwa pampasi. Masikini shujaa ameondoka na mmedumaa zaidi kwa utapiamulo, wahi haraka kwenye kaburi la kiongozi wa malaika muombe baraka yenu ya watoto.Daa yule alikuwa baba mwema ,aliamua kuzama kwenye mtoto Ili atuoko wanae na kweli alituokoa watoto milioni sitini ,yeye moja,ivi wangekuwa wakina zito na wezie waliotaka tufungiwe sijui Sasa ingekuwaje da yule ni MWAMBA NA MWALIM WA MARAIS WOTE DUNIAN
EhBaba magu acha wakutukane,acha wakubaghaze,Acha wakupe kila jina baya, Huwezi kujitetea,na hiki ndio walikuwa wanakitaka, hata watu uliowaamini leo wanaogopa kutaja jina lako,kwa sababu tu watakuongezea sifa,
Leo wanaishusha ile meri ya MV HAPA KAZI TU, NI KAZI YAKO BABA KWA WANAMWANZA,DARAJA LA KIGONGO FERRY, WANAJIVUNIA KULITAJA, STANDI MBILI ZA KISASA NYAMHONHORO NA NYEGEZI ,NI KAZI YAKO BABA,LKN WAMEAMBIWA NI MARUFUKU KUTAJA JINA LA JPM, AIBU AIBU AIBU,
WAMACHINGA ULIWAACHA WAKIFURAHIA MATUNDA YA UHURU WA NCHI YAO,LEO WANAWINDWA KAMA DIGIDGI,WAKINA MAMA WANANYANG'ANYWA SAMAKI ZAO NA KIPIGWA, CHAMA CHAKO MAPINDUNDUZI KIMEKAA KIMYA,CHADEMA KILICHOKUWA KINAJIITA WATETEZI WA WANYONGE,KIPO KIMYA,UONGOZI WA JUU WA CCM,UKO MBIONI KUKUITA WEWE FISADI,CHADEMA WAMEACHA KAZI YA KUWATETEA WANANCHI,WAO WAKO BIZE KUPAMBANA NA WEWE,NA WAMEJIUNGA NA KUWA TAWI DOGO LA CCM,
BABA LALA,LALA UPUMZIKE,MAPENZI YAKO KWA WATANZANIA YAPO WAZI,ACHA KUNDI DOGO WAKUTUKANE,ACHA WAKIITE KILA JINA BAYA,
TUTAKUKIMBUKA BABA,
Kwani watu wanaelewa hata nini kinaendelea!? Naona wamekuwa "brainwashed"Kwani hela zilikuwa za serikali au za Magufuli??
Halafu watanzania, tunashabikia nchi kufanya biashara, hiyo MV Mwanza kama mradi wa serikali hapo ujue hamna kitu hapo, ni hasara tupu.. Serikali haijawahi kufanya biashara yenye faida
Naamini maana mpaka Sasa sijachanja na nadunda kudadadekiHakuna alichofanya isipokuwa kuficha takwimu. Ni ujinga mtupu kwani Kenya, Uganda, Malawi hawakuvuka?