10. Ukiwa vitani halafu ndugu yako anakusaliti they don't deserve to survive
 
Mnamo mwishoni mwa mwaka 2019 Kulitokea janga la Corona.

Janga hili amabalo liliigubika Dunia nzima na kufanya Kila Mmoja kwuwa kwenye njiapanda bila kujua afanye nini.
Dunia iliamua kuacha shughuli zote za kibinadamu na kujifungia ndani.

Dunia iliamua kutelekeza uchumi wake na kujitenda.

So kitambo sana na naamini wengi wetu humu tulikua na umri wa kutambika kilichokua kinatokea Duniani. Hivyo sote ni mashahidi na ushuhuda tunapaswa kusema wazi.

Hii ilikua ni Vita kuu ya Dunia, na Sisi kama Taifa hii ilikua vita inayo TUHUSU. Hii haikua vita ya Urusi na Ukraine ambayo haituhusu.

Kidume Mmoja MWENYE akili na uthubutu. Mwanaume wa kweli mzalendo wa juu zaidi.

Alisimama kinyume na mwendo wa Dunia na kuamua kutuvusha pahala ambapo Dunia ilishindwa.

Leo tunatamba kuwa na Akiba ya pesa za kigeni.

Kwa kazi nzuri ya jarsiri muongoza Taifa, Leo tunaweza hata kuwananga majirani.

Hii haimaanishi kuwa sisi yunayo maajabu zaidi ya wao.

Ila tukubaliane tu kuwa haya ni matokeo ya Ushujaaa wa shujaaa wa mashujaa.

Haya hajakuja tu kama ndoto Bali ni Ushindi wa Vita vyetu.

Magufuli alituachia uchumi imara, mfumko wa Bei aliudhibiti ingawa Kwa Sasa tumeanguka

R.I.P JPM Simba wa Vita
 
Kinjekitile at his best. Anyway alisharest in pieces God has mysterious ways of dealing with human pomposity.
 
Naungana na ww kwakweli huyu JPM,Mungu angemuacha walau abakize mwaka mmoja ndo amchukue,mana katuacha njiani jamaa alikuwa mkorofi ila kwa masilah mapana ya Taifa.
Leo hii tunaletewa masindano ya kila namna utadhani sisi ni vifaa vya kufanyia majaribio na huku wao hawachomi na hela wanachukua wao za kutufanya testing tools zao,
Na pesa zilvyo nyingi kwa upeo wao mdogo wa kuchanganua mambo ya msingi wamekosa cha maana cha kuzifanyia wameamua kuwagawia akina Mbowe na Genge lake....Lissu kaja kachukua yake kasepa ,Lemma nae ataondoka soon bado tu anakusanya cha Arusha cha kutosha.
Sasa hivi nchi inaliwa na Chadema wala sio wakoloni.
Shame on my Tanzania.
 
Daa yule alikuwa baba mwema ,aliamua kuzama kwenye mtoto Ili atuoko wanae na kweli alituokoa watoto milioni sitini ,yeye moja,ivi wangekuwa wakina zito na wezie waliotaka tufungiwe sijui Sasa ingekuwaje da yule ni MWAMBA NA MWALIM WA MARAIS WOTE DUNIAN
 
Ukatili dhidi ya uninadamu.Maiti yake itapelekwa the Hague(ICC)
TanzNia hatuna ICC tuna wasaliti wachachectu walioba nayaeaka za mahakama ndege yetu ikakamata. Au mawakili waliwatetea wezi wa makaniki yetu. Hiyo ni kutetea mali yako si ICC. Wanaopelekwa ICC ni Wanyarwanda walioua Watusi milioni 3 kwa kuwachoma kanisani ay kuwatupia mtoni. Ni Apartheid South Africa waliowau watu kwenye townships. Ni Waarabu waliochukua watumwa Tanganyika na kuwauza Zanzibar. Au Iddi Amini iyeketeza wapinzani kuwalipua gerezani. Au kundi la CUF la UAMSHO lilowaua kada wa CCM na Polisi. Au bin Laden aliyelipua Ubalozi. Au Wakoloni walioua MAUMAU Kenya kwa halaiki. Maadui w a Magufuli ni wale aliowazuia kuiba makanikia au kufanya fujo wakishindwa kura.
 
Hakuna alichofanya isipokuwa kuficha takwimu. Ni ujinga mtupu kwani Kenya, Uganda, Malawi hawakuvuka?
 
Umesema ukweli kuwa aliwaona ni watoto, ikabidi awaokoe hata kwa pampasi. Masikini shujaa ameondoka na mmedumaa zaidi kwa utapiamulo, wahi haraka kwenye kaburi la kiongozi wa malaika muombe baraka yenu ya watoto.
 
Niseme tu watu wengi tulikuwa hatumwelewi vizuri, labda kwasababu aliuwa analazimika kuelezea UKWELI wa mambo kwa nchi nzima (ni jambo gumu).

Imagine unataka kuelezea jambo fulani kwa jamii ya watu mchanganyiko kuanzia wasiojua kusoma na kuandika mpaka PhD holders!

But JPM was right!
 
Eh
 
Kwani hela zilikuwa za serikali au za Magufuli??

Halafu watanzania, tunashabikia nchi kufanya biashara, hiyo MV Mwanza kama mradi wa serikali hapo ujue hamna kitu hapo, ni hasara tupu.. Serikali haijawahi kufanya biashara yenye faida
Kwani watu wanaelewa hata nini kinaendelea!? Naona wamekuwa "brainwashed"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…