Walinda legacy naona mmeambiana kushusha thread kila saa huku mkipokezana kijiti 🤣🤣🤣
 
Faza katafute mishemishe upate ugali wako hakuna serikali itakayo kuondolea umasikini.
 
Huyo jamaa unayemtetea kazima ndoto za vijana wengi sana Tanzania kuliko hata unavyofikiri , hakika kifo chake kimerudisha matumaini kwa vijana wengi wa nchi hiii najua hutokubaliana na mimi lakin ndyo ukweli huo.
Wakati wake, tsh 100.000/ ilitosha kuanzishia biashara, Leo utafanyia nini
 
Hivi hiyo corona ili muacha salama?
 
Alikuwa mbwamwitu aliyejivika ngozi ya kondoo
 
Mnaendelea kuwa mafukara sababu ndoto zenu mmezijenga kwa watu, mbaya zaidi ndoto zako za mafanikio unazijengaje kwa mwanasiasa?
 
Nitakufa kifo kizuri bila kuumiza mtu yoyote

Asante, Neno la Mungu linasema......

LORD, make me to know mine end, and the measure of my days, what it is; that I may know how frail I am.

Behold, thou hast made my days as an handbreadth; and mine age is as nothing before thee: verily every man at his best state is altogether vanity. Selah.

Surely every man walketh in a vain shew: surely they are disquieted in vain: he heapeth up riches, and knoweth not who shall gather them.

Tenda wema siku zote na usijehesabie haki maana wewe nawe ni binadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…