Achana na hadithi wewe matendo yako watu watayaona hakuna mwingine mambo ya mbinguni mi sihitaji nahitaji kuishi vyema kwa kutenda haki
 
Aliua nani unabaki unaharisha tu hapa. Alikua muuaji wewe uko hai, si ingekua umekufa.

Nipe orodha ya aliowaua Magufuli huna unabaki kutopoka tu.

Hizo stori za kizushi na kidaku kawape mataahira wenzio. Ukiwa na allegations uwe na ushahidi.
Kwani wewe umekufa si Magufuri kafa kufa na wewe ili tuamini kuwa Magufuri alishakufa.
 
Work hard stay positive and pray to God u can Go on Top is None-sense to say ur hope was been under the shadow of Mwendazake
 
Work hard stay positive and pray to God u can Go on Top is None-sense to say ur hope was been under the shadow of Mwendazake
If I was just sitting without a job, would I have the motivation to write this? What I wrote is correct, many do not see where they are going, they do not know if they will get out of the prison of poverty

Endeleeni kubisha
 
Atakumbukwa Kwa mengi
 
Huko kwenu mtaendelea kua masikini kama alivyowaacha huyo jambazi wa chato..karudisha watu nyuma kimaisha awamu yake maskini waliongezeka mara 2...
 
Wewe tu ndio una matatizo wenzio mambo ndio yamekuwa mazuri. Km vp kamfuate anaongoza malaika, km njia haujii ya kufika kule tuwasiliane
 
Alikuachia kachanga pole sana. Katafutie Baba mwingine wa kulea
 
Huko kwenu mtaendelea kua masikini kama alivyowaacha huyo jambazi wa chato..karudisha watu nyuma kimaisha awamu yake maskini waliongezeka mara 2...
Hivi unadhani ni kwa nini elfu 27,000 ilitosha kwa mwananchi kujiletea umeme nyumbani kwake? Na sasa 310,000? Licha ya bei hii kubwa na LEA ilishajifia? Kwa nini eti we msomi?

Ukinijibu kwa usahihi, nitajua wewe kweli ni jiniazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…