Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Hii kitu aliiga kwa Kagame
Mwenzako Nape nnauye alitolewa Bastola hadharani na vijana wa Meko halafu wewe unasemajeAliweza kukomesha wale watu unanijua mimi ni nani heshima ilikuwepo kwa kila mtu
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.
Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti ( Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.
Hakika tutammiss , kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo..
Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J.. P. M (R. I. P).
1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.
2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje , kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).
3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu , S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.
4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.
5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.
6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu
Kufilisika ktk utawala wakeThis is a special thread and a tribute to the late J.P.M.
Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti ( Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.
Hakika tutammiss , kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo..
Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J.. P. M (R. I. P).
1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.
2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje , kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).
3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu , S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.
4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.
5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.
6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.
7.
Itaendelea...
13 . Kutufyatulisha watu wañyonge Bila kujijua tukiamini tupo uchumi wa kati.12. Kupoteza, kutesa na kujeruhi watu !!
Akuongezee mshahara wakati utendaji wako wa kazi ni mbovuKuwaweka wafanyakazi wa Uma miaka 7 bila nyongeza ya mshahara wala kupanda daraja. Hili haliwezi kusahaulika
hiyo ni njia moja wapo ya maendeleo ya nchi, vip tukipata tena mwingine akajenga Kama hivi sehemu mbalimbali nchini1.Chato International Airport
2.Chato National Park
3.Trafic light Chato
4.3 star hotel Chato (TANAPA)
5.Bohari ya kanda madawa Chato
6.Hospital ya rufaa Chato
7.Stadium (proposa)
8.CRDB Chato
vyovyote vile wewe utakuwa mchagaRais mwenye roho mbaya
Kuzuia watu wasimwombee Lissu
Jaribio la kuua mawazo mbadala....
mama yako alishaenda jehanamu?Labda hayo mambo alikufanyia kipekee wewe na familia yako ndio maana unashindwa kuyataja,lakini ukija kwa Taifa huyu mtu alikuwa Kirusi cha umoja na mshikamano wa Taifa letu,na hata kama kuna machache aliyofanya alifanya kwa faida yake binafsi na kikundi chake kichomzunguka. Huyu ni Sadist, alifurahia maumivu na mateso ya wengi. Aende Jehanamu.
Mama yako alishaenda jehanamu?Labda hayo mambo alikufanyia kipekee wewe na familia yako ndio maana unashindwa kuyataja,lakini ukija kwa Taifa huyu mtu alikuwa Kirusi cha umoja na mshikamano wa Taifa letu,na hata kama kuna machache aliyofanya alifanya kwa faida yake binafsi na kikundi chake kichomzunguka. Huyu ni Sadist, alifurahia maumivu na mateso ya wengi. Aende Jehanamu.
hapa hizo gloves wamemlazimisha tu kuvaa anaweza akafanya kazi hivyohiv hakuwa na making kabisa
Naunga mkono hoja, tumpe na tuzo kwa kuanzisha kundi la watu wasiojulikana walioua watu na kuwaweka kwenye viroba, waliompiga risasi TAL, waliomuua Ben Saanane, Alfonsi Mawazo, Azori Gwanda et la. Kilangila.Kwa kumuenzi jemedari wetu ni muhimu tuiaanzisha tuzo ya uwajibikaji na ufuatiliaji ya Mh .Dr John Pombe Magufuli ili tulinde heshima aliyotuleta Magufuli.
Pigwa kishenzi, acha uyu aitwe Mungu@. Hakuna heshima yoyote, tunataka ku document atrocities/devastation committed for the past 5 yrs to have excellent recordKwa kumuenzi jemedari wetu ni muhimu tuiaanzisha tuzo ya uwajibikaji na ufuatiliaji ya Mh .Dr John Pombe Magufuli ili tulinde heshima aliyotuleta Magufuli.
Hahahahahaa jamani kuna watu ni maexpert wa kukwaza na kukera watu hahahaa nimelipukwa kicheko balaaNaunga mkono hoja, tumpe na tuzo kwa kuanzisha kundi la watu wasiojulikana walioua watu na kuwaweka kwenye viroba, waliompiga risasi TAL, waliomuua Ben Saanane, Alfonsi Mawazo, Azori Gwanda et la. Kilangila.