Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Job ndugai alivyo kiroporopo

Anakwambia Magufuli atake au hasitake lazima aongezewe muda wa kuwalimisha wananchi kwa meno.
 
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.

Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti ( Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.

Hakika tutammiss , kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo..

Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J.. P. M (R. I. P).

1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.

2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje , kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).

3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu , S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.

4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.

5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.

6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu

6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.

7.

Itaendelea...
Kufilisika ktk utawala wake
 
"Hands on manager" aliyefuatilia ahadi zake kwa watendaji wake. Utendaji huu ndio umesababisha kuwa karibu na wananchi wake. Uzembe kazini ulipungua sana kipindi chake.
 
1.Chato International Airport
2.Chato National Park
3.Trafic light Chato
4.3 star hotel Chato (TANAPA)
5.Bohari ya kanda madawa Chato
6.Hospital ya rufaa Chato
7.Stadium (proposa)
8.CRDB Chato
hiyo ni njia moja wapo ya maendeleo ya nchi, vip tukipata tena mwingine akajenga Kama hivi sehemu mbalimbali nchini
 
Labda hayo mambo alikufanyia kipekee wewe na familia yako ndio maana unashindwa kuyataja,lakini ukija kwa Taifa huyu mtu alikuwa Kirusi cha umoja na mshikamano wa Taifa letu,na hata kama kuna machache aliyofanya alifanya kwa faida yake binafsi na kikundi chake kichomzunguka. Huyu ni Sadist, alifurahia maumivu na mateso ya wengi. Aende Jehanamu.
mama yako alishaenda jehanamu?
 
Mama yako alishaenda jehanamu?
 
Kila nionapo kifaranga cha kuku, huwa na imagine kama vifaranga viliwekwa jehanamu kwenye tanuru la moto je sisi binadamu tutapelekwa wapi

Ni mtazamo tu..
 
Kwa kumuenzi jemedari wetu ni muhimu tukiaanzisha tuzo ya uwajibikaji na ufuatiliaji ya Mh .Dr John Pombe Magufuli ili tulinde heshima aliyotuleta Magufuli.
 
Kwa kumuenzi jemedari wetu ni muhimu tuiaanzisha tuzo ya uwajibikaji na ufuatiliaji ya Mh .Dr John Pombe Magufuli ili tulinde heshima aliyotuleta Magufuli.
Naunga mkono hoja, tumpe na tuzo kwa kuanzisha kundi la watu wasiojulikana walioua watu na kuwaweka kwenye viroba, waliompiga risasi TAL, waliomuua Ben Saanane, Alfonsi Mawazo, Azori Gwanda et la. Kilangila.
 
Pigwa kishenzi, acha uyu aitwe Mungu@. Hakuna heshima yoyote, tunataka ku document atrocities/devastation committed for the past 5 yrs to have excellent record
 
Naunga mkono hoja, tumpe na tuzo kwa kuanzisha kundi la watu wasiojulikana walioua watu na kuwaweka kwenye viroba, waliompiga risasi TAL, waliomuua Ben Saanane, Alfonsi Mawazo, Azori Gwanda et la. Kilangila.
Hahahahahaa jamani kuna watu ni maexpert wa kukwaza na kukera watu hahahaa nimelipukwa kicheko balaa
 
Back
Top Bottom