Sikusherehekea kifo chake ila mwamba aliniudhi sana kutaka kutufanya watz woote tuwe ma ccm.
 
Kuna msemo "Heroes don't rest in peace, they rest in power".
 
Mimi ni nani wewe ni nani.....kama alikunufaisha we tulia usitake tufanane mtazamo mkuu,afu mwisho wa siku hakuna atakaebakia Dunia kwann nijiminye kutoa Cha moyoni mkuu
Ustaarabu ni uungwana na kifo ni mipango ya Mungu sio dhamana regardless uongozi wake unauchuliaje lakini heshima ni kitu muhimu sana hata uongee hayo maneno hayawezi kumfufua Marehemu
 
Ni kweli viautu vyake vibaya havina mvaaji! Ila kuna wachache vimeanza kuwa-enea
 
Ustaarabu ni uungwana na kifo ni mipango ya Mungu sio dhamana regardless uongozi wake unauchuliaje lakini heshima ni kitu muhimu sana hata uongee hayo maneno hayawezi kumfufua Marehemu
Kumbe unajua kuwa hawezi fufuka mkuu,nimetoa la moyoni
 
Endapo alihojiwa tu jinsi alivyoupata udoctor wake ikawa shida, utampaje mtu wa aina hii heshima hiyo?
Doctor wa kweli hawezi kuogopa maswali ya uhitimu wake na kuelezea jinsi alivyohitimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…