Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna msemo "Heroes don't rest in peace, they rest in power".Na GENTAMYCINE ninavyojua Maendeleo ya sasa ambayo Wengine ( Wademaji ) wanajivunia nayo huku Wakikudhalilisha na Kukupenda pamoja na Kukusifia Kinafiki ni yako ( yalitokana na Wewe ulipokuwa ) na hawa Wengine ( Wademaji ) Kazi yao tutaanza Kuipima kuanzia mwaka 2025 kwa Kudra zake Mwenyezi Mungu ( Allah )
Ustaarabu ni uungwana na kifo ni mipango ya Mungu sio dhamana regardless uongozi wake unauchuliaje lakini heshima ni kitu muhimu sana hata uongee hayo maneno hayawezi kumfufua MarehemuMimi ni nani wewe ni nani.....kama alikunufaisha we tulia usitake tufanane mtazamo mkuu,afu mwisho wa siku hakuna atakaebakia Dunia kwann nijiminye kutoa Cha moyoni mkuu
Ni kweli viautu vyake vibaya havina mvaaji! Ila kuna wachache vimeanza kuwa-eneaNa GENTAMYCINE ninavyojua Maendeleo ya sasa ambayo Wengine ( Wademaji ) wanajivunia nayo huku Wakikudhalilisha na Kukupenda pamoja na Kukusifia Kinafiki ni yako ( yalitokana na Wewe ulipokuwa ) na hawa Wengine ( Wademaji ) Kazi yao tutaanza Kuipima kuanzia mwaka 2025 kwa Kudra zake Mwenyezi Mungu ( Allah )
Kwani wewe shoga hutakufa?Bora huyo pongo wenu alikufa
Kumbe unajua kuwa hawezi fufuka mkuu,nimetoa la moyoniUstaarabu ni uungwana na kifo ni mipango ya Mungu sio dhamana regardless uongozi wake unauchuliaje lakini heshima ni kitu muhimu sana hata uongee hayo maneno hayawezi kumfufua Marehemu
Wanakufa wabaya kwanza wakiwemo mashogaKwani wewe shoga hutakufa?
Kwahiyo ndugu zako waliokufa ni mashoga?Wanakufa wabaya kwanza wakiwemo mashoga
Naunga mkono hojaKatika kumuenzi Baba Dr Mheshimiwa Comrade John Pombe Magufuli PhD inafaa paanzishwe Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia. Ili legacy ibaki Kwa vizazi na vizazi
AisehKitatoa PhD feki.
R.I.P Ben Saanane
Naunga mkono hojaKatika kumuenzi Baba Dr Mheshimiwa Comrade John Pombe Magufuli PhD inafaa paanzishwe Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia. Ili legacy ibaki Kwa vizazi na vizazi
Katika kumuenzi Baba Dr Mheshimiwa Comrade John Pombe Magufuli PhD inafaa paanzishwe Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia. Ili legacy ibaki Kwa vizazi na vizazi
Wakija madarakani wanaothamini demokrasia itafutwa tu hiyo. Huyo atakumbukwa kwa mauaji ya raia wasio na hatia. Katili lisilokifaniKatika kumuenzi Baba Dr Mheshimiwa Comrade John Pombe Magufuli PhD inafaa paanzishwe Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia. Ili legacy ibaki Kwa vizazi na vizazi