Mimi Nangu nyau nilikataa unafiki duniani hapa.

Akiwa madaraka kwa miaka mitano tu, JPM amevunja records tangu nchi hii ipate uhuru kwa kufanya meeengi kwa wakati mfupi sana.

Kuanzisha bila woga ujenzi wa Hydropower plant ya zaidi 2000MW.
Kuanzisha ujenzi wa Reli ya SGR zaidi ya 1000km.
Kujenga Daraja pale Mwanza Busisi.
Kuanzisha ujenzi wa njia sita Dar - Kibaha.
Kuondoa woote wenye vyeti feki na wafanyakazi hewa serikalini.
Kuja na idea ya elimu bure msingi mpaka sekondari (Wazo tu kwangu linatosha kabisa).
Kulifufua shirika la ndege lililokufa kabisa na watu kula hela za bure za walipa kodi.
Kuanza kulifufua shirika la reli TRC kwa kulipa nguvu baada ya kuanza kufufua miundo mbinu yake ya reli.
Kuondo janja janja za wafanyabiashara wakwepa kodi na wezi waliozoea kuifanya nchi shamba la bibi.
Kuwatia adabu wafanyakazi wazembe wazembe wa serikalini na wezi.
Kurudisha adabu kwa raia na wanasiasa wajinga wajinga.
Kuwafanya watu kuiogopa serikali na rushwa.
nk, nk, nk, nk kila mwenye akili timamu ameona na anaendelea kuona.

HAKUNA MAENDELEO YASIYO NA MAUMIVU, MAENDELEO HAYAJI KWA KURIDHISHA KILA MTU NA KUCHEKA CHEKA KIFALA FALA NA WAPUMBAVU. MAENDELEO YANATAKA WATU KUFANYA KAZI KWA BIDII NA VIONGOZI WENYE MAAMUZI MAGUMU.
TANZANIA ILI ITOKE HAPA INAHITAJI VIONGOZI WAGUMU WENYE MISIMAMO MIKALI, ROHO MBAYA, UKATILI NA WASIO WAOGA.

PUMZIKA KWA AMANI JPM, MWENYEZI MUNGU AKUSAMEHE DHAMBI ZAKO, AKUONDOLEE ADHABU KABURI NA KUKUFANYIA KILA LILILO JEPESI HUKO ULIKO.
 
Haki ya mnyonge akishanyongwa ni kuzikwa tu,hana haki nyingine

Hakuna taifa linaweza kuendelea kwa kucheka cheka na watu wenye mizaha mizaha, wajinga wajinga na wanaofikilia utani kila panapohitaji umakini na akili.

Ulaya na Marekani ili kuendelea wapunbavu na wajinga wajinga walikufa sana, kikabaki kizazi kilichojitoa kwa kufanya kazi kwa bidii na kuyafia mataifa yao.
 
Katika kumuenzi Baba Dr Mheshimiwa Comrade John Pombe Magufuli PhD inafaa paanzishwe Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia. Ili legacy ibaki Kwa vizazi na vizazi
Haswaaaa Kabisaa

Jambo hilli haliwafurahishi MACHAWA NA MAKUNGUNIIII

Hata kama hawatafanya lkn Legacy ya JPM ni ngumu kufutikaaaaaaaaaa
 
Wasisahau kuweka banda la nyungu kwa ajili ya magonjwa ya shida ya upumuaji.
 
Katika kumuenzi Baba Dr Mheshimiwa Comrade John Pombe Magufuli PhD inafaa paanzishwe Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia. Ili legacy ibaki Kwa vizazi na vizazi
Kile cha Butiama kwa baba wa Taifa mmekitelekeza hicho cha Magufuli nani atakihangaikia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…