Rwankomezi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 3,285
- 2,636
Hivi ben saa nane huyu alikuwaga nani kwenye chama chenu,Mimi uwa nashangaa wabaki akina Mbowe,Lissu,Mnyika,lemma n.k alafu huyu beni ndo afariki tena mnasema aliuwawa akinanani walimua na kwanini,inamaa huyu jamaa alikuwa na influency kubwa kuliko hao wengine hapo juu?Kitatoa PhD feki.
R.I.P Ben Saanane